hawzah news agency (140)
-
Maadili ya kiislamu:
DiniElimu isiyo ambatana na ufikiriaji, haina faida
Kuujaza ubongo wa mtu kanuni za kisayansi, mantiki na falsafa, au elimu yoyote kutakuwa na athari ndogo sana hadi hapo kutakapokuwa na misingi ya fikra sahihi, mtazamo wazi ulimwenguni na kuitambua…
-
Hadithi ya leo:
DiniSema haki, kwani kuokoka kwako kuko katika hilo
Mche (muogope) Mwenyezi Mungu na sema haki hata kama utaangamia, kwani (kwa hakika) kuokoka kwako kuko katika hilo. Mche Mwenyezi Mungu na acha batili hata kama kuokoka kwako kuko katika hilo,…
-
Video:
VideoMwanamke mwenye Miaka 70 Nchini Ujerumani akamatwa kwa kosa la kuwaunga mkono wapalestina
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 70 alikamatwa kwa nguvu na polisi wakati wa maandamano ya kuwaunga mkono wapalestina huko Berlin, tukio hilo lilitokea baada ya kunyanyua juu ya kichwa chake…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsicheleweshe kulipa ujira wa kibarua
Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.
-
DiniJe, kuchagua jinsia ya mtoto ni jambo lililo ndani ya uwezo wa mwanadamu?
Aya ya 49 ya Suratu Shura inaeleza kwamba; Mwenyezi Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu na kuwa kila neema na rehema hutoka kwake. Yeye humruzuku amtakaye mtoto wa kike au wa kiume, na huwafanya…
-
Katibu wa shura ya juu ya Hawza katika kikao na mkuu wa taasisi ya utafiti ya Hawza na chuo Kikuu nchini Irani:
HawzaHawza itambulishwe ulimwenguni kutikana uwezo na sifa zake ilizonazo/ pazuiwe kuchapishwa baadhi ya maudhui za kielimu kabla ya kufanyiwa utafiti
Ayatollah Shabzendeh-dar alisema: Maendeleo na kazi madhubuti ya Hawza, pamoja na fikra za Hawza, bado havijafahamika vya kutosha. Inatupasa kuhakikisha kuwa Hawza inatambulika duniani kwa sifa…
-
DuniaMwanafunzi wa Kipalestina aendelea kuzuiliwa Vermont huku kikao cha kusikiliza kesi yake kikitarajiwa wiki ijayo
Umati mkubwa wa wafuasi na watetezi wa haki walikusanyika nje ya mahakama moja katika jimbo la Vermont siku ya Jumatano kumuunga mkono kijana wa Kipalestina aliyekuwa akiongoza maandamano dhidi…
-
Ayatollah al-Udhma Jawadi Amuli:
DiniMtu ambaye ana matatizo na jamii, basi aimarishe mafungamano kati yake na Mwenyezi Mungu
Ayatollah Jawadi Amuli amesema: Mtu ambaye ana matatizo kwenye jamii na anataka kuboresha uhusiano kati yake na watu wengine, ni lazima aimarishe na kupendezesha uhusiano wake na Mwenyezi Mungu.…
-
DuniaMaandamano Makubwa yafanyika Katika Jiji la Rotterdam, Uholanzi, kwa Ajili ya Kuiunga Mkono Ghaza
Maelfu ya watu katika jiji la Rotterdam, Uholanzi, wameandamana kwa ajili ya kupinga mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza. Maandamano haya…
-
DuniaBaadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu hawana ujasiri hata wa mtoto mdogo wa Ghaza
Baadhi ya viongozi wa nchi za Kiislamu, siku moja watalazimika kutoa majibu. Naam, sisi tunawauliza watu wenye nidhamu za woga: Je, hamna hata ujasiri wa kiwango cha mtoto aliyesimama mbele ya…
-
Ayatollah Araki katika mkutano unao husu “Matumizi na uwezo wa akili mnemba”:
HawzaMatumizi ya akili mnemba ni jambo la wajibu / Mafaqihi wabainishe hukumu za kifiqhi zinazohusiana na akili mnemba
Mjumbe wa Jumuiya ya walimu wa Hawza ya Qom {Jamiat Mudarrisin} alieleza wazi kwamba: Kuwekeza nguvu katika mkakati mara nyingi kunahusiana na mienendo ya kawaida, na akili mnemba pia ina nafasi…
-
DuniaBalozi wa Marekani Jakarta, ashuhudia maandamano ya Wananchi wa Indonesia
Jakarta, mji mkuu wa Indonesia, ulishuhudia maandamano ya wananchi yaliyolenga kuunga mkono watu wa Palestina wanaoteseka. Waandamanaji walikusanyika mbele ya ubalozi wa Marekani huku wakiimba,…
-
DuniaUjumbe wa Rambirambi kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Vatikani kutokana na Mnasaba wa Kifo cha Papa Francis
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Vatikani ametoa ujumbe wa rambirambi huku akielezea masikitiko yake juu ya kifo cha Papa Francis, kiongozi wa Katoliki duniani.
-
DuniaUjumbe wa Raisi wa Shura ya Maulamaa wa Kishia Pakistan kutokana na Mnasaba wa kufariki Papa Francis
Kwa mujibu wa shirika la habari la Hawza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, Raidi wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan, ameeleza masikitiko yake na huzuni kufuatia kifo…
-
Ujumbe wa rambirambi kutoka Ofisi ya Ayatollah Al-Udhma Sistani kufuatia kufariki Kiongozi wa kanisa katoliki duniani:
HawzaPapa alitekeleza jukumu mashuhuri katika kuhudumia amani, kuvumiliana na kuleta mshikamano kwa wanyonge
Kufuatia kifo cha Papa Francis, kiongozi wa kanisa katoliki wa duniani, ofisi ya Hadhrqt Ayatollah Sistani imetoa ujumbe wa rambirambi.
-
Ayatollah A'raafi katika ujumbe wake wa rambirambi kwa wafuasi wa dini ya kikristo:
HawzaPapa Francis alikuwa na juhudi zenye thamani katika kuimarisha uhusiano kati ya dini za Mungu hususan Uislamu na Ukristo
Papa Francis, kwa mtazamo wa kibinadamu na kimaadili, alikuwa na juhudi zilizo na thamani katika kuimarisha uhusiano kati ya dini za mbinguni, hasa hasa Uislamu na Ukristo, na katika kueneza…
-
DuniaRaia wa Bahrain ametoa hadia nakala ya maandishi iliyo na thamani kubwa kwenye Haram ya Imamu Husein (a.s)
Hawza; Nakala hii ya kipekee ya Qur'ani Tukufu iliyohifadhiwa kwa maandishi ya mkono ina urefu wa mita 1,250, na imetolewa kama zawadi kuielekea Haram ya Imamu Husein (a.s).
-
DuniaKitendo cha kupiga marufuku Hijabu, ni ishara tosha ya kupuuzwa kwa haki za wanawake
Kufuatia kuongezeka kwa chuki dhidi ya uislamu, Bi Bayraktar, mjumbe wa bodi ya Wanawake na Demokrasia, amesema: kupigwa marufuku mavazi ya dini kama vile hijabu kumewafanya wanawake waislamu…
-
DuniaUlinganisho wa Kuvutia uliofanywa na Rais wa Colombia kati ya Wapalestina na Nabii Issa (amani iwe juu yake)
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, katika hotuba yake siku ya Ijumaa, alilinganisha hali ya mateso wanayo ipotia Wapalestina na simulizi ya maisha ya Nabii Issa Masih (amani iwe juu yake).
-
DuniaKuuawa kishahidi mpiga picha Mpalestina mwenye umri wa miaka 25 saa chache baada ya kupokelewa katika tamasha
Fatma Hassouneh, mpiga picha wa Kipalestina, aliuawa kishahidi pamoja na watu wengine 10 wa familia yake katika mashambulizi yaliyo fanywa na utawala haram wa Kizayuni, tukio hilo limetokea saa…
-
Katika kikao kilichofanyika nchini Pakistan imesemwa kuwa:
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi bila shaka ndie mtetezi wa kweli wa ubinadamu
Kongamano la lililofana ambalo lilipewa jina la “Karbala ya zama za Palestina” limefanyika mjini Islamabad, Pakistan, kwa kushirikisha shakhsia mashuhuri za kisiasa, kidini na vyombo vya habari…
-
Ayatullah al-‘Udhma Jawadi Amuli:
DiniMtu akienda makaburini kisha akarejea bila ya kujifunza chochote, hiyo ni hasara
Hadhrat Ayatullah Jawadi amesema: Je! Mtu anaena makaburini kwa ajili ya kuwaombea maghfira (msamaha) wazazi wake, au kwa ajili na yeye mwenyewe kujifunza jambo fulani?
-
“Kuielekea Jamii Bora” (mfululizo wa utafiti kuhusu Imam Mahdi, amani iwe juu yake) - 4
HawzaSifa za Imam: «‘Iṣmah»
Iwapo Imām hatokuwa ni mwenye kuhifadhiwa dhidi ya makosa, basi itawapasa watu wamtafute Imām mwingine ili awajibu mahitaji yao. Na iwapo na huyo pia hatokuwa ni mwenye kuhifadhiwa dhidi ya makosa,…
-
Aayatullah al-‘Udhmaa Nūrī Hamedānī:
HawzaKuwatumikia Ahlul-Bayt (‘alayhimus-salām) ni nafasi ya hali ya juu na adhimu kabisa katika ulimwengu huu
Marja‘ taqlīd wa mashia, kwa kuashiria umuhimu wa kuwatumikia Ahlul-Bayt (‘alayhimus-salām), amesema: Bila ya shaka yoyote, kuwatumikia Maasumiin (a.s), hasa kwa Hadhrat Sayyidush-Shuhadaa (‘a.s),…
-
DiniNjia Nane za Kudhibiti muda wa michezo kwa watoto kwenye Simu zao za Mkononi
Ili kuwasaidia watoto kutumia michezo ya simu kwa njia bora, muda wa kucheza unaweza kupunguzwa na michezo ifaayo kuchaguliwa. Wazazi wanapaswa kupendekeza shughuli mbadala kama vile michezo…
-
“Kuielekea Jamii Bora” (mfululizo wa utafiti kuhusu Imam Mahdi, amani iwe juu yake) - 3
DiniSifa za Imam; Mwenye elimu kubwa zaidi na uelewa mpana zaidi miongoni mwa watu
Hawzah/ Imam ambaye anachukua nafasi ya uongozi na uwatawala kwa watu, ni lazima aijue dini kwenye nyanja zake zote na awe na uelewa kamili wa sheria zake, vilevile aweze kujibu maswali yote…
-
DuniaHii ndio picha bora zaidi iliyo chaguliwa Mwaka 2025
Hawzah; Picha hii, ambayo ilipigwa na mpiga picha wa Kipalestina anayeishi Qatar aitwaye Samar Abu Al-Wafa kwa ajili ya shirika la New York Times, picha hii inaonyesha mtoto wa kiume aitwaye…
-
DuniaBendera ya Palestina yainuliwa kwenye mahafali iliyo fanyika chuo kikuu cha Harvard
Bendera za Palestina zimeinuliwa kwenye sherehe ya mahafali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard.
-
Mkurugenzi (Mudiri) wa Hawza zote nchini Irani:
HawzaUtambulisho wa kiuwanafunzi wa dini (talaba) ni Lulu ya asili kwa mwanafunzi
Mkurugenzi wa Hawzah nchi Irani, katika kikao chake na wanafunzi wa Hawzah kilichofanyika katika mji wa Tehran – Iran, alielezabkuwa: Neema kuu zaidi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ni kuwepo katika…
-
Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi:
HawzaUdharura wa kuondoa mapungufu katika shughuli za Hija na Umra na kupunguza gharama za Hija
Ayatollah al-Udhma Makarim Shirazi, akiashiria udharura wa kuondoa mapungufu katika shughuli za Hija na Umra, amesisitiza juu ya kupunguzwa kwa gharama za Hija na muda wa safari ya Hija ya Tamattu'…