Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza Tofauti na matarajio ya watu wengi wilaya ya Lushoto mwaka huu wamefanya matembezi ya aina yake, matembezi ambayo yamehudhuriwa na mamia ya wafuasi wa madhehebu ya Ahlulbayt (as), Lushoto miaka iliyopita ilikuwa ikihesabika kuwa ni ngome kubwa ya wafuasi wa ahlu sunna, lakini kwa sasa inaanza kuonesha sura tofauti baada ya kuwepo wimbi kubwa la wafuasi wa madhebu ya shia.
Baadhi ya waumini walio shiriki kwenye matembezi hayo
Sura nyengine za waumini waliofuroka kuhudhuria kwenye matembezi hayo
Maoni yako