tanzania (38)
-
DuniaMazishi ya Sayyid Ali Khamenei Yalibeba Ujumbe Mkubwa kwa Umma; Maulana Hemed Jalala Aainisha Mafunzo Matano Muhimu Rufiji
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, jana alihudhuria na kusoma Majlisi ya kumbukumbu ya Sayyid Ali Khamenei iliyofanyika katika Husseiniyat…
-
DuniaKongamano la Kumuenzi Imam Shahidi Lafanyika Dar es Salaam; Wanazuoni Wasisitiza Kuendeleza Njia Yake ya Haki na Uadilifu
Hawza/ Taasisi ya Maendeleo ya Kiislamu ya Falah imefanikiwa kuandaa kongamano maalumu la kielimu na kumbukizi kwa ajili ya kumuenzi Imam Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (ra),…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaNukta Tano Muhimu Tunazojifunza Kutokana na Mazishi Makubwa ya Imam Shahidi Khamenei (ra)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesema kuwa; maisha na mazishi ya Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra) yamebeba mafunzo makubwa kwa Waislamu na…
-
DuniaTanzania Yaomboleza Kifo cha Imam Shahidi Khamenei; Kumbukumbu ya Kiongozi Mkuu Yaishi Katika Nyoyo za Waumini
Hawza/ Hafla ya maombolezo ya kumuenzi Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei imefanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania, huku waombolezaji wakikusanyika kwa ajili ya kuenzi maisha,…
-
DuniaTanzania Yatoa Heshima za Mwisho Tehran; Ujumbe Maalumu Washiriki Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Umma
Hawza/ Ujumbe maalumu kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeungana na viongozi na wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali duniani kushiriki katika hafla za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Umma,…
-
DuniaNaibu Mudiri wa Hawza ya Imam Swadiq (as) Aongoza Zoezi la Uchangiaji Damu Jijini Dar es Salaam
Hawza/ Katika kuhuisha ujumbe wa kujitolea, kujisadikisha na kuihudumia jamii unaofundishwa na harakati za Imam Hussein (as), Mkurugenzi Msaidizi wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Sheikh Muhammad…
-
DuniaMajlisi za Imam Hussein (as) Zaendelea Kuadhimishwa kwa Hamasa Kubwa Mjini Moshi, Tanzania
Hawza/ Katika mwendelezo wa maadhimisho ya mwezi wa Muharram na kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), majlisi za maombolezo zimeendelea kufanyika kwa hamasa kubwa katika mji wa Moshi, nchini…
-
DuniaMajlisi za Maombolezo ya Imam Hussein (as) Zaendelea kwa Huzuni Kubwa Jijini Arusha, Tanzania
Hawza/ Katika hali ya huzuni, majonzi na kumbukumbu zenye kuumiza nyoyo za waumini wa Ahlul-Bayt (as), Kituo cha Ahlul-Bayt jijini Arusha kimeendelea kuandaa majlisi za maombolezo ya msiba wa…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania Aongoza Majlisi ya Imam Hussein (as) Bilal Temeke; Atoa Nasaha Muhimu Kuhusu Imam Mahdi (as)
Hawza/ Katika mazingira yaliyojaa huzuni, tafakuri na mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as), Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Sheikh Hemed Jalala,…
-
DuniaMajlisi za Imam Hussein (as) Zaendelea kwa Hamasa Kubwa katika Nchi za Afrika Mashariki
Hawza/ Nchi mbalimbali za Afrika Mashariki zimeendelea kushuhudia majlisi na mikusanyiko mikubwa ya maombolezo ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), katika kumbukumbu ya kuuawa…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaAmani ya Taifa ni Lulu Inayopaswa Kulindwa na Kuhifadhiwa
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia nchini Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesisitiza umuhimu wa kulinda amani, umoja na mshikamano wa kitaifa, huku akieleza kuwa; amani ni neema…
-
DuniaTaasisi Mbalimbali za Kidini Afrika Mashariki Zajipanga Kuadhimisha Mwezi wa Muharram + Picha
Hawza/ Taasisi mbalimbali za kidini katika nchi za Afrika Mashariki zimeanza maandalizi makubwa ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Muharram, kwa kuzindua kampeni za uhamasishaji na kutoa mialiko…
-
DuniaMaadhimisho ya Muharram Yaanza kwa Ushiriki Mkubwa Mjini Moshi Tanzania + Picha
Hawza/ Msikiti wa Ahlulbayt (as) uliopo mjini Moshi na unaosimamiwa na Taasisi ya Ummulbanin, umeandaa Majlisi ya Kwanza ya Muharram kwa mwaka wa 1448 Hijria (2026), katika mazingira yaliyogubikwa…
-
Dunia“Kutoka Ghadir hadi Minab” Maonesho maalum ya picha pamoja na kumbukumbu yaliyounganisha historia, imani na ubinadamu kupitia picha zenye kuonesha haki, kujitoa na uthabiti
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kiliandaa maonesho maalumu ya picha na kumbukumbu yaliyopewa anuani ya “Kutoka Ghadir hadi Minab”, yakilenga kuunganisha…
-
DuniaTaasisi ya Furqan Yaadhimisha Hafla ya Ghadeer Sambamba na Kumbukumbu ya Kufariki Imam Khomeini (r.a)
Hawza/ Katika mazingira yaliyojaa hisia za kiroho, elimu na mapenzi kwa Ahlul-Bayt (a.s), Taasisi ya Furqan nchini Tanzania imeadhimisha hafla maalumu ya Sikukuu ya Ghadeer sambamba na mnasaba…
-
HawzaMkutano wa kielimu/ “Ghadir; Nukta ya Pamoja katika Umma wa Kiislamu” wafanyika Tanzania
Hawza/ Mkutano wa kielimu na kitamaduni wenye anuani isemayo “Ghadir; Nukta ya Pamoja katika Umma wa Kiislamu”, uliokuwa na lengo la kuchunguza tukio la Ghadir kwa mtazamo wa Shia na Ahlu Sunna,…
-
DuniaMaonesho Makubwa ya Sanaa Yakiwa na Ujumbe wa Ubinadamu na Umoja Yafanyika Dar es Salaam Tanzania
Hawza/ Katika siku iliyogubikwa na ubunifu, mafunzo, utamaduni na ujumbe wenye kugusa hisia za kibinadamu, maonesho ya sanaa yenye kaulimbiu “Ubinadamu na Umoja” yameacha alama ya kipekee katika…
-
DuniaWanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Watembelea Kituo cha Utamaduni cha Iran Kilichopo Dar es Salaam
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Iran kilichopo nchini Tanzania kimepokea ugeni maalumu wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar waliowasili katika kituo hicho kwa lengo la kuendeleza mahusiano…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaAmani, Umoja na Mshikamano wa Taifa ni Nguzo Kuu Inayopaswa Kuenziwa
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania amewaomba wananchi na waumini wote nchini kuendelea kuilinda amani ya taifa, kudumisha umoja wa wananchi pamoja na kuimarisha mshikamano wa kijamii kama…
-
DuniaMaonesho Makubwa ya Sanaa Kufanyika Dar es Salaam Yakiwa na Ujumbe wa Ubinadamu na Umoja
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Iran Tanzania kwa kushirikiana na Idara ya Sanaa Bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeazimia kufanya maonesho maalumu ya sanaa yatakayowakutanisha wanafunzi,…
-
DuniaKongamano la 31 la Kimataifa la Qur’ani Tukufu lafanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania
Hawza/ Chuo Kikuu cha Jaamiatul Mustafa kilichopo nchini Tanzania kiliadhimisha Kongamano la 31 la Kimataifa la Qur’ani Tukufu, likiwa ni tukio kubwa, adhimu na la kihistoria lililolenga kukuza…
-
DuniaKongamano la 31 la kimataifa la Qura'n Tukufu kufanyika Daresalaam Tanzania
Hawza/ Chuo Kikuu cha Jaamiatul Mustafa kilichopo nchini Tanzania kinatarajiwa kuandaa Kongamano la 31 la Kimataifa la Qur’ani Tukufu, likiwa ni tukio kubwa na la kihistoria linalolenga kukuza…
-
DuniaWanafunzi kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini Tanzania wamepokea nakala ya wasifu wa Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei (ra)
Hawza/ katika hatua inayolenga kukuza uelewa wa kihistoria na kielimu kuhusu maisha ya viongozi wa Kiislamu waliotoa mchango mkubwa katika harakati za kisiasa na kijamii, wanafunzi kutoka vyuo…
-
DuniaTanzania yaandaa Semina maalumu kwa ajili ya kukumbuka fikra zenye ushawishi za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Iran
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania, kimeandaa Semina maalumu ya mtandaoni ambayo inalengo la kukumbuka fikra pevu na zenye ushawishi za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Iran.
-
DuniaTanzania yaandaa Shindano maalumu la kuchora kwa watoto kwa ajili ya kuwakumbuka watoto 168 waliouliwa kidhalim Iran
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Iran, Jijini Dar es Salaam Tanzania, kimeandaa program maalumu ya shindano la uchoraji kwa watoto likiwa na lengo la kuwakumbuka wototo waliouliwa kidhamu na utawala…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) Atembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kigoma Tanzania
Hawza/ Tareh, 02 Oktoba 2025 — Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Samaahat Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, akiendelea na ziara yake ya mkoani Kigoma, leo ametembelea Ofisi ya Mkuu…
-
DuniaUchaguzi Mkuu wa BAKWATA Wilaya, Singida: Wilaya zote zapata viongozi wapya
Hawza/ Siku ya Jumatatu sawa na tareh 29.9.2025 – Uchaguzi mkuu wa BAKWATA mkoa wa Singida umefanikiwa kufanyika katika wilaya zote saba, ambapo wenyeviti wapya wamechaguliwa kushika nafasi za…
-
DuniaOfisi ya Jumuiya ya Shia Ithnaasharia (TIC), Mkoa wa Mwanza yafunguliwa Rasmi
Hawza/ Hatimae jana tareh 28 Mwezi wa tisa Mkoa wa Mwanza ulifanya uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Jumuiya ya Shia Inthaasharia (TIC), baada ya kufunguliwa na Sheikh Mkuu wa Jumuiya hiyo.
-
DuniaSemina ya uchinjaji wanyama na ndege yahitimishwa leo Daresalam Tanzania
Hawza/ Semina elekezi sheria za kiislamu kuhusiana na uchinjaji wa wanyama na ndege leo hii imefungwa rasmi na Katibu wa BAKWATA mkoa wa Daresalam.
-
DuniaMtafiti kutoka nchini Tanzania: Umma wa Kiislamu ni umma wa rehema na umoja
Hawza/ Mtafiti kutoka nchi ya Tanzania, akisisitiza juu ya rehema ya umma wa Kiislamu, alisisitiza pia juu ya ulazima wa kuwasaidia wananchi wa Palestina.