tanzania (15)
-
DuniaPicha / matembezi ya amani ya kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) yafanyika nchini Tanzania
Hawza/ Hawza ya Imaam Swadiq (as) chini ya usimamizi wa Samahat Sheikh Jalala iliandaa matembezi ya amani yaliyo husiana na kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) kwa ajili ya kuadhimisha…
-
DuniaHujjatul Asr Society Of Tanzania yaadhimisha Arubaini ya Imam Husein (as)
Hawza/ Taasisi ya Hujjatul Asr Society Of Tanzania iliyopo chini ya usimamisi wa Sayyid A'rif Naqawi imeadhimisha Arubaini ya Imam Husein (as) kwa mwaka huu wa 2025 sawa na 1446 Hijria
-
DuniaKikao maalumu na wanafunzi wa Tanzania, Malawi na Burundi chafanyika Qum Irani, kikiwa na maudhui ya kumkuza mwanafunzi katika ngazi ya kutumia fani mbali mbali za kisasa
Hawza/ Wanafunzi wa Tanzania, Malawi na Burundi wakutana na wakili wa Jaamiatul-Mustafa pamoja na Raisi wa Taasisi ya Bayani ili kujadili jinsi ya kuweza kumkuza mwanafunzi hasa hasa katika kutumia…
-
DuniaTaasisi za kidini zaratibu matibabu ya macho nchini Tanzania
Hawza/ Jumuiya ya Shia ya Khoja kwa kushirikiana na Taasisi ya Almustafa pamoja na baadahi ya Taasisi za kidini nchini Tanzania, imeratibu matibabu ya macho kwa wananchi, huku mwitikio wa wananchi…
-
DuniaSheikh Abdurazak Amiri: “Hakuna Mwenye Mamlaka ya Kumtoa au Kumuingiza Mtu Kwenye Uislamu Isipokuwa Mwenyezi Mungu”
Hawza/ Sheikh Abdurazak Amiri amesema kuwa; “Hakuna Mwenye Mamlaka ya Kumtoa au Kumuingiza Mtu Kwenye Uislamu Isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee”
-
DuniaMatembezi ya Ashura mwaka huu Arusha yavunja rekodi
Hawza/ Jiji la Arusha yamefanyika matembezi yaliyo fana mwaka huu, matembezi ambayo hayajawahi tokea katika miaka iliyopita.
-
DuniaHivi ndivyo walivyo adhimisha matembezi ya Ashura mwaka huu mkoani Singida Tanzania
Hawza/ Mamia ya wafuasi wa madhehemu ya Ahlulbayt wamemiminika barabarani kwa ajili ya kuadhimisha maombolezo ya kuwawa Imam Husein (as) mkoani Singida Tanzania
-
DuniaRais Mwinyi azindua rasmi kamati ya kusimamia Madrasa Zanzibar
Hawaza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya Kusimamia Madrasa Zanzibar.
-
sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC):
DuniaFalsafa ya Arafa kwa mtazamo wa Imam Khomeini (ra)
Hawza/ sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC), katika hotuba yake ya swala ya ijumaa alielezea falsafa ya kisimamo cha Arafa kutokana na mtazamo wa Imam Khomeini (ra).
-
DuniaKongamano kubwa la Qurani lafanyika Daresalam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja
Hawza/ Kongamano kubwa la Qurani limefanyika leo hii jiji Daresalamu katika viwanja vya Mnazi Mmoja huku viongozi wa dini mbalimbali na Taasisi tofauti wakihudhuria kwenye kongamano hilo.
-
DuniaKwa mara nyengine tena Mahafali kubwa ya kimataifa ya Qur'ani yafanyika Tanzania
Hawza/ Mahafali kubwa ya Qur'ani ya kimataifa imefanyika Tanzania, huku maelfu ya waumini wakimiminika kushuhudia mahafali hiyo.
-
DuniaKongamano Kubwa la Qur'ani lafanyika Tanzani huku likihudhuriwa na watu Mashuhuri
Hawza/ Kongamano kubwa na la aina yake lemefanyika nchini Tanzania huku sura za watu mbalimbali mashuhuri zikijitokeza kuonesha ushiriki wake.
-
DuniaRaisi Mwinyi: Kipaumbele chetu kiwe ni Madrasa pamoja na kuwasaidia Masheikh na Walimu
Hawza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Waislamu, wahisani na wafadhili kuelekeza nguvu zao katika kuziimarisha Madrassa pamoja…
-
DuniaTamasha la kimataifa la Qur'ani kufanyika nchini Tanzania
Hawza/ Tamasha la kimataifa la Qur'ani limepangwa kufanyika nchini Tanzania huku likishirikisha Taasisi nne mashuhuri nchini humo.
-
DuniaUshirikiano wa Kimataifa kwenye Taasisi za Kiislamu ni jambo la ulazima kwa ajili ya Kuimarisha Uislamu na Maendeleo katika Jamii
Hawza/ Mkuu wa Taasisi ya Kielimu na Kitaaluma ya Bilal ya Tanzania amesisitiza juu ya nafasi muhimu ya ushirikiano wa kimataifa katika kusambaza ujumbe sahihi wa Uislamu, na kwa kubainisha shughuli…