hawza (258)
-
"Kuielekea Jamii iliyo Bora": (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imaam Mahdi (a.s)) - 17
DiniSiri ya kutokuwa bayana wakati wa kudhihiri Imamu wa Zama (as)
Hawza | Bila shaka yoyote, subira yenye tija ambayo ni miongoni mwa sababu kuu za harakati na uhai inajitokeza tu katika kivuli cha kufichika wakati wa kudhihiri Imam (as).
-
DuniaMufti Mkuu wa Tanzania akutana na wanafunzi wa kitanzania katika ziara yake nchini Morocco
Hawza/ Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakr bin Zuber, amekutana na wanafunzi wa kitanzania nchini Morocco na kuweza kufanya nao mazungumzo ya pamoja.
-
DuniaIran, Nchi ya Tatu kwa Uzalishaji wa Dawa ya Ugonjwa wa MS Duniani
Hawza/ Iran, kwa kufanikisha teknolojia ya uzalishaji wa dawa ya ugonjwa wa MS (Multiple Sclerosis), imetambuliwa kuwa mtengenezaji wa tatu kwa ukubwa wa dawa hii duniani. Mafanikio haya ni hatua…
-
DuniaZakariya al-Sinwar, ndugu wa Shahidi Yahya al-Sinwar, auwawa kishahidi katika kambi ya al-Nusairat.
Hawza/ Zakariya al-Sinwar, ndugu yake Yahya al-Sinwar, ameuawa kishahidi pamoja na wanawe watatu katika shambulio lililo fanywa na utawala wa Kizayuni kwenye kambi ya al-Nusairat katikati mwa…
-
DuniaMaafisa wa Haram ya Imamu Husein (a.s) wafanya Ziara katika Ubalozi wa Vatikani ulioko Baghdad
Hawza/ Kwa ushirikiano na Ofisi ya Ushauri ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq, Idara ya Masuala ya Kitamaduni, pamoja na Bodi ya Usimamizi ya Sekretarieti ya Haram ya Imamu Husein (a.s), walifanya…
-
DuniaKiongozi Mpya wa Kanisa Katoliki Aapishwa
Hawza/ Papa Leo wa Kumi na Nne, siku ya Jumapili baada ya kuongoza ibada yake ya kwanza takatifu, alitawazwa rasmi kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki.
-
"Kuielekea Jamii iliyo Bora": (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imaam Mahdi (a.s)) - 16
DiniKubainisha Wakati kwa ajili ya Kudhihiri
Hawza/ Daima wamekuwepo watu walioainisha wakati wa kudhihiri kwa kutumia nia za kishetani, na watu wa aina hiyo wataendelea kuwepo hata katika siku zijazo. Hivyo basi, viongozi maasumu (as)…
-
Darsa la (Akhlaq) Maadili:
DiniMwisho wa kufuata matamaniwa ya Nafsi ndio Mwanzo wa ubinadamu
Hawza | Mtu ambaye haoni thamani yoyote ya kidunia kwa ajili ya nafsi yake, hufikia daraja ya utukufu wa nafsi kiasi kwamba hawezi kufikiwa kirahisi. Heshima ya nafsi si kiburi wala si udhalili,…
-
DuniaAntónio Guterres akosoa vikali kuhusiana na kutojali kwa jamii ya kimataifa dhidi ya mateso yasiyo na kikomo wanayo yapitia watu wa Ghaza
Hawza/ Mkutano wa thelathini na nne wa nchi kuu za Kiarabu ulianza rasmi siku ya Jumamosi huku nchi ya Iraq wakiwa ndio wenyeji wa mkutano huo, mkutano huo ulikuwa na kaulimbiu isemayo: “Majadiliano,…
-
DuniaRais wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan: Ukombozi wa Quds ni ahadi ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Katika kumbukumbu ya siku ya kukaliwa kimabavu kwa mji mtakatifu wa Quds, Seneta Raja Nasir Abbas Jafari, katika tamko alilolitoa, amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni na…
-
DuniaSheikh Ibrahim Zakzaky aomba kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa nchini Nigeria
Hawza/ Sheikh Sayyid Ibrahim Zakzaky amekutana na baadhi ya watu waliokuwa wamefungwa kwa muda wa miaka sita lakini hatimaye wameachiwa huru baada ya kufutiwa mashtaka.
-
HawzaAyatollah Arafi atuma ujumbe wa pongezi kwa Papa mpya / Asisitiza ushirikiano wa kielimu na kitamaduni kati ya hawza ya Iran na Vatikani
Hawza/ Mkurugenzi (Mudir) wa hawza nchini Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kuchaguliwa Papa Leon wa kumi na nne kuwa kiongozi wa Katoliki duniani.
-
DuniaRaisi Mwinyi: Kipaumbele chetu kiwe ni Madrasa pamoja na kuwasaidia Masheikh na Walimu
Hawza/ Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Waislamu, wahisani na wafadhili kuelekeza nguvu zao katika kuziimarisha Madrassa pamoja…
-
Hadithi ya leo:
DiniAmejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa
Amejidharau mwenyewe yule mwenye kuwa na tamaa, na atakuwa ameridhika na udhalili mwenye kufichua matatizo yake, na ambaye anauacha ulimi wake kuitawala roho yake ameishusha hadhi nafsi yake.
-
DuniaTamasha la kimataifa la Qur'ani kufanyika nchini Tanzania
Hawza/ Tamasha la kimataifa la Qur'ani limepangwa kufanyika nchini Tanzania huku likishirikisha Taasisi nne mashuhuri nchini humo.
-
"Kuielekea Jamii iliyo Bora": (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imaam Mahdi (a.s)) - 15
DiniAlama za Kudhihiri Imamu Mahdi (A.S.)
Hawza/ Kwa kuwa alama na ishara za kudhihiri Imamu Mahdi (a.s.) ni bishara ya faraja ya Mahdi ahli wa Mtume Muhammad (s.a.w), kutokea kwa kila mojawapo kati ya alama hizo huifanya nuru ya matumaini…
-
DuniaNjaa na ukame huko Ghaza ni ishara ya ukosefu wa maadili ya kibinadamu duniani
Hawza/ Mgogoro wa Ghaza ni janga la kibinadamu ambalo athari zake mbaya zinawakumba watu wa tabaka lote, lakini mzigo mkubwa zaidi unabebwa na watoto. Mzigo huu unavunja mifupa yao, kwa hakika,…
-
DuniaHijabu nchini Nigeria yateka vyombo vya Habari
Hawza/ Bi Hamda Adenike alishindwa kushiriki katika kikao cha mtihani wa taasisi ya kielimu kwa sababu ya kuwa na hijabu.
-
HawzaMwanafikra wa Kihindi: Hawza ya Qom ndio Mshika Bendera ya Ijtihadi Dhidi ya fikra mgando
Hawza/ Aqil Reza Turabi, mwanafikra wa Kihindi, katika tamko lake ameielezea Hawza ya Elimu ya Qom kuwa ni mfano wa mapinduzi hai, yenye mwanga, kiroho na kiakili.
-
HawzaTaarifa ya Hawza Kuhusiana na Kauli za dhihaka za Trump / Serikali za ukanda huu zisiingie katika mitego ya upuuzi Huo
Uongozi wa hawza, sambamba na kulaani upuuzi wa Rais mwenye dhalili wa Marekani — ambao umetolewa kwa nia ya kuiunga mkono serikali ya Kizayuni na kuchochea mifarakano baina ya nchi za Kiislamu…
-
DuniaRais wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan: Israeli ni utawala wa kimabavu, usio halali na ni tishio kwa amani ya dunia
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kwenye mnasaba wa Siku ya Nakba (15 Mei), amelieleza utawala wa Kizayuni kuwa ni utawala wa kunyang’anya kwa nguvu…
-
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi: Kusimama Imara Mbele ya Madhalimu Ndio Sababu ya Uadui Wao Dhidi Yetu
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tatizo kuu la mabeberu wa Magharibi ni kuwa Jamhuri ya Kiislamu inakataa utamaduni wao batili.
-
Hadithi ya leo:
DiniKuwa hivyo katika fitina
Katika fitina kuwa kama mwana wa ngamia; Hana mgongo wa kupandwa wala chuku ili akamuliwe maziwa.
-
DuniaWasanii Mashuhuri Duniani watia saini kwenye Waraka mmoja
Hawza/ Zaidi ya watu mashuhuri 350 katika ulimwengu wa sinema na nyota wa Cannes na Hollywood, wakiwemo mastaa kama Richard Gere na Susan Sarandon, wamelaani “mauaji ya halaiki” yanayoendelea…
-
HawzaAyatollahil-Udhma Jawadi Amuli: “Elimu, Akili na Malezi” ni nguzo tatu za ukombozi kwa Hawza na Vyuo Vikuu
Hawza/ Ayatollahil-Udhma Jawadi Amuli ametaja nguzo tatu za ukombozi, yaani “Elimu, Akili na Malezi”, kuwa ndio njia ya ustawi wa mtu binafsi na jamii katika hawza na vyuo vikuu katika ulimwengu…
-
DuniaTrump Anakusudia Kufanya Biashara kwa Kutumia Utajiri na Damu ya Watu wa Ukanda huu/ Washington Inajaza Mifuko Yake kutokana na Pesa za Nchi za Kiarabu
Hawza/ Nchi za Kiarabu katika mwezi Machi zitakuwa wenyeji wa rais wa Marekani anayependa kamari na kufanya biashara, ambaye hana umuhimu wowote na damu, maisha, wala mali za watu wa eneo hili,…
-
DuniaNew York Times: Ghuba ya Uajemi Kamwe Haitapewa Jina Bandia
Hawza/ Umoja wa Mataifa nao unatumia istilahi ya “Ghuba ya Uajemi”. Makala moja iliyochapishwa mwaka 2006 nchini Marekani imebainisha kuwa katika nyaraka za kihistoria, jina la “Ghuba ya Uajemi”…
-
DuniaMuqtada Sadr akutana na Ayatollah al-Udhma Jawadi Amoli katika mji mtukufu wa Najaf
Hawza/ Kiongozi wa harakati ya Sadr amemtembelea Ayatollah Abdullah Jawadi Amoli sehemu aliyo fikia huko mjini Najaf al-Ashraf na kufanya naye mazungumzo.
-
"Kuielekea Jamii iliyo Bora": (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imaam Mahdi (a.s)) - 14
DiniMasharti na Mazingira ya Kudhihiri kwa Imam Mahdi (as)
Hawzah/ Kila tukio katika ulimwengu huu linatokea pale masharti na mazingira yake yanapotimia, na bila kutimia kwa mazingira hayo, hakuna kitu chochote kinachoweza kuwepo.
-
HawzaAyatollah Yaqubi atoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki kwa Ayatollah Sayyid Muhammad Baqir Musawi Kashmiri
Hawza/ Ayatollah Sheikh Muhammad Yaqubi, katika ujumbe wake, alitoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki kwa mwanazuoni mchamungu Ayatollah Sayyid Muhammad Baqir Musawi Kashmiri, mmoja wa maulamaa…