Jumamosi 25 Julai 2026 - 16:15
Hadithi ya Leo| Je! Ni wakina nani wanaopenda kueneza aibu za watu?

Hawza/ Amirul-Muuminina, Imam Ali (as), katika riwaya amebainisha chanzo cha tabia ya kutafuta kasoro za watu na kuzieneza kwa wengine.

Shirika la Habari la Hawza, -  limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim.

Amirul-Muuminina Ali (as) amesema:

«ذَوُو الْعُیُوبِ یُحِبُّونَ إِشَاعَةَ مَعَایِبِ النَّاسِ لِیَتَّسِعَ لَهُمُ الْعُذْرُ فِی مَعَایِبِهِمْ.»

"Wenye kasoro hupenda kueneza kasoro za watu wengine ili wapate kisingizio cha kuficha au kuhalalisha kasoro zao wenyewe."

Chanzo: Ghurar al-Hikam wa Durar al-Kalim, Juz. 1, uk. 548.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha