Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya ishirini na moja:
اللّهُمَّ اجْعَلْ لِی فِیهِ إِلی مَرْضاتِک دَلِیلاً، وَلَا تَجْعَلْ لِلشَّیطانِ فِیهِ عَلَی سَبِیلاً، وَاجْعَلِ الْجَنَّةَ لِی مَنْزِلاً وَمَقِیلاً، یا قاضِی حَوائِجِ الطَّالِبِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nioneshe njia ya kuifikia Radhi yako, wala Usimpe Shetani nafasi ya kunihangaisha katika mwezi huu. Uijaalie Pepo iwe ndiyo mashukio yangu na mapumziko. Ewe Mwenye kuzitekeleza haja za wakuombao.
Maoni yako