Mwezi wa Ramadhani (22)
-
DuniaRamadhani 2026 mjini Moscow; mradi wa Utawala wa Kidini wa Waislamu wa mji mkuu wa Urusi
Hawza/ Imeripoti kuwa toleo la 21 la “Hema la Ramadhani” litafanyika kuanzia 18 Februari hadi 19 Machi sambamba na mwezi mtukufu wa Ramadhani kulingana na kalenda ya Kiislamu mjini Moscow.
-
DuniaWaislamu wa Uholanzi wanatumia fursa ya mwezi wa Ramadhani kuutambulisha Uislamu
Hawza/ Imeripotiwa kuwa wahubiri wa Kiislamu nchini Uholanzi wameanzisha mpango maalum katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa lengo la kuitambulisha dini ya Uislamu na kukabiliana na chuki dhidi…
-
DuniaIsraeli waliuchoma moto Msikiti huko Ukingo wa Magharibi
Hawza/ Utawala wa Kizayuni wa jinai katika mwezi wa Ramadhani ulifanya tena kitendo kingine cha kinyama kwa kuushambulia msikiti katika Ukingo wa Magharibi na kuuchoma moto. Viongozi wa Palestina…
-
DiniSifa kuu za wafungaji wa kweli katika maneno ya Ali ibn Husayn Zayn al-Abidin (a.s.)
Hawza/ Imamu Sajjad (a.s.) anautambulisha mwezi wa Ramadhani kuwa ni njia ya kufikia wema na ihsani ya Mwenyezi Mungu. Mashia wa kweli hutambuliwa kwa athari za ibada zao: matumbo yaliyodhoofika…
-
DuniaKatika Mwezi wa Ramadhani, Ataba Tukufu ya Husseini husambaza kila siku zaidi ya milo 4,000 ya futari miongoni mwa mazuwari
Hawza/ Ataba Tukufu ya Husseini katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inaendelea kutoa huduma zake za kibinadamu kwa mazuwari.
-
DuniaKuandaliwa meza za futari za kila siku na za kila wiki kwa mazuwari katika eneo tukufu la Alawi ndani ya Mwezi wa Ramadhani
Hawza/ Idara ya Nyumba ya Wageni ya Mazuwari katika Haram Tukufu ya Kiongozi wa Waumini Ali (amani iwe juu yake) imeanza utekelezaji wa mpango kamili wa kufturisha Ramadhani.
-
DuniaMwanazuoni mashuhuri wa Lebanon, aitaka serikali kutumia uwezo wake wote katika nyanja zote kukabiliana na mashambulizi ya Israel
Hawza/ Imam wa Swala ya Ijumaa Beirut na mwanazuoni wa Kishia wa Lebanon katika Kituo cha Utamaduni wa Kiislamu, katika kikao cha mazungumzo chenye anuani “Mwezi wa Ramadhani na Kuimarisha Kipengele…
-
Nasaha ya Imamu Khomein (r.a):
DiniNi vipi utaingia katika Mwezi wa Ramadhani ukiwa na nafsi iliyotakasika
Hawza/ Mwanadamu anapaswa kuyaona matendo yake kuwa yako mbele ya Mwenyezi Mungu, ajiepushe na kusengenya na kutuhumu, aingie katika Mwezi wa Ramadhani akiwa na moyo safi, adiriki makosa ya zamani…
-
Mufti wa Misri:
DuniaMwezi wa Ramadhani ni mwezi wa msamaha wa Mwenyezi Mungu na msimu wa kurekebisha maadili na kuimarisha mshikamano
Hawza/ Nadhir Ayyad, Mufti wa Jamhuri ya Misri, amewataka wananchi wa Misri na Umma wa Kiislamu kuupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa roho ya toba ya kweli na kurejea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu,…
-
DuniaMapendekezo ya Sheikh Zakzaky kuhusu vikao vya Qur’ani ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
Hawza/ Kwa mnasaba wa kuwasili kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani na kuongezeka kwa vikao vya tafsiri ya Qur’ani Tukufu katika maeneo mbalimbali ya Nigeria, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria,…
-
DiniChemli ya Ramadhani | Surat Aal-Imran; toleo la Qur’ani katika kukabiliana na mashambulizi ya kitamaduni na kijeshi
Hawza/ Juzuu ya tatu ya Qur’ani Tukufu inajumuisha Surat Al-Baqara kuanzia aya ya 253 hadi mwisho wa sura, na Sura Aal-Imran hadi aya ya 93. Sura Aal-Imran, kwa kusisitiza umoja wa neno (tawhidi…
-
DuniaChemli ya Ramadhani | Mnafiki ni yule anayeiuza nchi yake
Hawza/ Mwanzoni mwa Surat Al-Baqarah zimeelezwa sifa za wachamungu (muttaqīn), makafiri na wanafiki. Mwenyezi Mungu anawataja wanafiki kuwa ni wabaya zaidi kuliko makafiri; yule anayeiuza nchi…
-
DuniaLuninga kubwa zaidi barani Ulaya yatangaza kuanza kwa Ramadhani
Hawza/ Luninga kubwa na maarufu zaidi ya matangazo ya kidijitali barani Ulaya imewashwa na kupambwa kwa taa maalum ili kuadhimisha kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
DuniaRais wa Maldives atangaza mwongozo wa kimaadili katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Hawza/ Rais wa Maldives, Dkt. Mohamed Muizzu, katika hotuba yake kutokana na mnasaba wa kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ameutangaza mwezi huu kuwa ni fursa adhimu ya kuleta mabadiliko chanya…
-
DuniaQatar yazindua kituo cha televisheni cha usomaji wa Qur’ani
Hawza/ Kampuni moja ya vyombo vya habari ya Qatar imetangaza uzinduzi wa Kituo cha Qur’ani cha Qatar katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
-
DuniaKatika siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani imefanyika mahfali ya kisomo cha Qur'ani huku Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu akihudhiria
Hawza/ Mahafali ya kisomo cha Qur’ani Tukufu imefanyika kwa kuhudhuriwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kundi la walimu pamoja na wasomaji mahiri na wa kimataifa wa Qur'ani tukufu, ilifanyika…
-
Ayatollah A‘raafi katika kikao cha na walimu na walinganiaji:
DuniaAwamu mpya ya mapambano dhidi ya Uislamu; umuhimu wa mkakati wa kushambulia sambamba na mbinu ya kujihami/ Wahubiri elfu 50 waagizwa kote nchini Iran katika siku za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Hawza/ Ayatollah Alireza A‘raafi, Mkuu wa Hawza za Elimu ya Dini nchini Iran, katika kikao cha kirafiki na walimu, wahubiri na wanafunzi wa Hawza kilichofanyika katika Shule ya Madrasa ya Fayziya…
-
Hukumu za Kisheria
DiniJe! Ukisahau nia ya kufunga, funga yako itakuwa sahihi?
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amejibu istifta (swali la kisheria) kuhusiana na mwenye “kusahau nia ya kufunga.”
-
Ripoti kuhusu hali ya watu wa Ghaza na Quds katika kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani:
DuniaKutoka kufunga katika hali ya njaa Ghaza hadi vizuizi vya Ramadhani kwa waumini wa Msikiti wa Al-Aqsa
Hawza/ Licha ya kuwepo kwa usitishaji vita dhaifu katika Ukanda wa Ghaza, mashambulizi ya Israel dhidi ya raia wasio na ulinzi yanaendelea, na Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi na Quds inayokaliwa…
-
Ayatullah Kaabi:
DuniaRamadhani ni shule ya kujijenga na jihadi ya ustaarabu
Hawza/ Ayatullah Abbas Kaabi, katika mkutano wa wakurugenzi na walinganiaji wa nchi Iran ulioratibiwa mahsusi kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1447 Hijria, uliofanyika kwa juhudi za muungano…
-
DuniaTaa za mapambo ya Ramadhani nchini Ubelgiji kwa mara ya kwanza katika historia
Hawza/ Manispaa ya mji wa Ghent nchini Belgium imetangaza kuwa, inakusudia kwa mara ya kwanza kufunga taa za mapambo ya mwezi wa Ramadhani katika vituo viwili maarufu vya ununuzi vya jiji hilo.…
-
DuniaWaislamu wa Kanada waupokea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kuwasha taa na kuweka mapambo mitaani
Hawza/ Mwezi wa Ramadhani, ambao ndani ya British Columbia unajulikana kama Sherehe ya Ramadhani, mwaka huu unaangukia mwishoni mwa Februari na mwanzoni mwa mwezi Machi. Katika mji wa Surrey,…