Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 24:
اللّهُمَّ إِنِّی أَسْأَلُک فِیهِ مَا یرْضِیک، وَأَعُوذُ بِک مِمَّا یؤْذِیک، وَأَسْأَلُک التَّوْفِیقَ فِیهِ لِأَنْ أُطِیعَک وَلَا أَعْصِیک، یا جَوادَ السَّائِلِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Ninakuomba katika mwezi huu (Unijaalie niyatende) yanayokuridhisha. Na ninajilinda kwako na yanayokuudhi. Na ninakuomba kuniwafikia katika mwezi huu nikutii pasina kukuasi, Ee mpaji wa wakuombao.
Maoni yako