Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na saba:
اللّهُمَّ اهْدِنِی فِیهِ لِصالِحِ الْأَعْمالِ، وَاقْضِ لِی فِیهِ الْحَوائِجَ وَالْآمالَ، یا مَنْ لا یحْتاجُ إِلَی التَّفْسِیرِ وَالسُّؤالِ، یا عالِماً بِما فِی صُدُورِ الْعالَمِینَ، صَلِّ عَلَی مُحَمَّدٍ وَآلِهِ الطَّاهِرِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niongoze katika mwezi huu kwenye amali njema, Unitekelezee katika mwezi huu haja zangu na mataraji yangu, Ewe Usiyehitaji ufasiri na kuuliza (ndipo ukaifahamu haja ya mja, bali Unaifahamu hata bila ya kuuliza na bila kuelezwa). Ewe Mjuzi wa yalioyomo vifuani (nyoyoni) mwa walimwengu! Mteremshie rehema na amani (Mtume) Mohammad (s.a.w.) na Aali zake watakatifu.
Maoni yako