Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 22:
اللّهُمَّ افْتَحْ لِی فِیهِ أَبْوابَ فَضْلِک، وَأَنْزِلْ عَلَی فِیهِ بَرَکاتِک، وَوَفِّقْنِی فِیهِ لِمُوجِباتِ مَرْضاتِک، وَ أَسْکنِّی فِیهِ بُحْبُوحاتِ جَنَّاتِک، یا مُجِیبَ دَعْوَةِ الْمُضْطَرِّینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nifungulie katika mwezi huu milango ya fadhila zako, na Uniteremshie katika mwezi huu baraka zako Uniwafikie katika mwezi huu niyatende yanifikishayo kwenye Radhi yako, Uniweke katika pepo yako uipendayo ewe Mwitika wa maombi ya wenye dhiki.
Maoni yako