Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 28:
اللّهُمَّ وَفِّرْ حَظِّی فِیهِ مِنَ النَّوافِلِ، وَأَکرِمْنِی فِیهِ بِإِحْضارِ الْمَسائِلِ، وَقَرِّبْ فِیهِ وَسِیلَتِی إِلَیک مِنْ بَینِ الْوَسائِلِ، یا مَنْ لَا یشْغَلُهُ إِلْحاحُ الْمُلِحِّینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niongezee fungu langu la mwezi huu kutokamana na nyongeza, unikirimu katika mwezi huu niyakinishe maombi. Njia zangu za kukufikia ziwe karibu miongoni mwa njia. Ee Usiyeshughulishwa na mahimizo ya wahimizao.
Maoni yako