Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 27:
اللّهُمَّ ارْزُقْنِی فِیهِ فَضْلَ لَیلَةِ الْقَدْرِ، وَصَیرْ أُمُورِی فِیهِ مِنَ الْعُسْرِ إِلَی الْیسْرِ، وَاقْبَلْ مَعاذِیرِی، وَحُطَّ عَنِّی الذَّنْبَ وَالْوِزْرَ، یا رَؤُوفاً بِعِبادِهِ الصَّالِحِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku katika mwezi huu fadhila za usiku wa Laylatul Qadri, Uyageuze mambo yangu yaliyo mazito ili yawe mepesi. Uzikubali nyudhuru zangu, Uniepushe (na Unifutie) madhambi na makosa (mengine) Ee mpole kwa waja wema.
Maoni yako