Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya ishirini:
اللّهُمَّ افْتَحْ لِی فِیهِ أَبْوابَ الْجِنانِ، وَأَغْلِقْ عَنِّی فِیهِ أَبْوابَ النِّیرانِ، وَوَفِّقْنِی فِیهِ لِتِلاوَةِ الْقُرْآنِ، یا مُنْزِلَ السَّکینَةِ فِی قُلُوبِ الْمُؤْمِنِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nifungulie milango ya peponi (ili niingie kwa haraka), na Unifungie milango ya moto (ili nisipate kuingia humo) Uniwafikie kuisoma Qur'ani kwa wingi sana katika mwezi huu, Ee Mwenye kutia utulivu nyoyoni mwa wenye kuamini.
Maoni yako