Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tisa:
اللّهُمَّ وَفِّرْ فِیهِ حَظِّی مِنْ بَرَکاتِهِ، وَسَهِّلْ سَبِیلِی إِلی خَیراتِهِ، وَلَا تَحْرِمْنِی قَبُولَ حَسَناتِهِ، یا هادِیاً إِلَی الْحَقِّ الْمُبِینِ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niongezee fungu langu la baraka za mwezi huu, na Unisahilishie njia ya kuyafikia mema ya mwezi huu, wala Usininyime kukubaliwa mema, Ewe Aongozaye kwenye haki iliyo wazi.
Maoni yako