Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 29:
اللّهُمَّ غَشِّنِی فِیهِ بِالرَّحْمَةِ، وَارْزُقْنِی فِیهِ التَّوْفِیقَ وَالْعِصْمَةَ، وَطَهِّرْ قَلْبِی مِنْ غَیاهِبِ التُّهَمَةِ، یا رَحِیماً بِعِبادِهِ الْمُؤْمِنِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nifunike katika mwezi huu kwa rehema, Uniruzuku uongofu na kulinda na machafu, Utahirishe moyo wangu usiingiwe na giza la shaka Ewe Mrehemevu wa waja wako walio wema.
Maoni yako