Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 23:
اللّهُمَّ اغْسِلْنِی فِیهِ مِنَ الذُّنُوبِ، وَطَهِّرْنِی فِیهِ مِنَ الْعُیوبِ، وَامْتَحِنْ قَلْبِی فِیهِ بِتَقْوَی الْقُلُوبِ، یا مُقِیلَ عَثَراتِ الْمُذْنِبِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nisafishe katika mwezi huu ili nitokamane na madhambi, Unitakase na aibu (zote) Uuonjeshe moyo wangu Taqwa ya nyoyo (za wanaokuogopa) Ewe Msamehevu wa matelezo ya wenye dhambi.
Maoni yako