Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya 25:
اللّهُمَّ اجْعَلْنِی فِیهِ مُحِبّاً لِأَوْلِیائِک، وَمُعادِیاً لِأَعْدائِک، مُسْتَنّاً بِسُنَّةِ خاتَمِ أَنْبِیائِک، یا عاصِمَ قُلُوبِ النَّبِیینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie katika mwezi huu niwe mwenye kuwapenda watu wako (uwapendao) na unijaalie niwe mwenye kutenda Sunna za Mtume wako wa mwisho (Muhammad (s.a.w.)). Ewe Mwenye kuzitakasa nyoyo za Mitume.
Maoni yako