shirika la habari la hawza (1256)
-
Ayatullah Al-Udhma Subhani:
DuniaWakaaji wa Itikafu Waombe Dua Kwa Ajili ya Kuwaokoa Waislamu Kutoka Katika Hali Ngumu
Hawza/ Ayatullah Subhani amesisitiza kuwa: mambo yanayowakumba Waislamu leo hayajawahi kushuhudiwa kwa kiwango kikubwa kama hiki katika historia, na kutokana na dunia kutojali kuhusu maafa haya…
-
Ayatullah Al-Udhma Nouri Hamadani:
DuniaKukuza Utamaduni wa Swala Hakufanyiki Kulingana na Amri
Hawza/ Ayatullah Nouri Hamadani, akisisitiza juu ya umuhimu wa kujenga utamaduni kuanzia katika mazingira ya elimu na familia, amesema wazi kuwa: kukuza utamaduni wa Swala hakutapatikana kwa…
-
DuniaWito wa Tarehe 18 Desemba; Hasira za Wafanyakazi Dhidi ya Sera Kali za Serikali ya Ufaransa
Hawza/ Zaidi ya mashirika na vyama 400 nchini Ufaransa vimewaita wananchi kushiriki maandamano ya tarehe 18 Desemba dhidi ya ubaguzi wa rangi na kwa ajili ya kuhalalishwa kisheria kwa watu wasiokuwa…
-
DuniaTuwe Wapinga-Uzayuni, si Wapinga-Uyahudi
Hawza/ Harakati ya kuunga mkono Palestina nchini Scotland ililaani tukio la ufyatuaji risasi uliosababisha vifo katika hafla ya Wayahudi nchini Australia, na ikasisitiza kuwa hakuna uhalali wowote…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya 'Kuhuisha Turathi za Wanazuoni' wa Lebanon, Katika Kongamano la kimataifa la “Muqawama”:
DuniaMuqawama ni Jibu la Kihistoria kwa Uislamu Dhidi ya Uvamizi na Ubeberu
Hawza/ Hujjatul-Islam Sheikh Baghdadi, huku akisisitiza kuwa; muqawama una mizizi yake katika mafundisho halisi ya Uislamu, alisema wazi kuwa: Muqawama ni jibu la kihistoria na la kimkakati la…
-
Waziri wa Zamani wa Lebanon:
DuniaHakuna Nafasi ya Kujisalimisha Katika Kamusi Yetu, Muqawama ni Utamaduni wa Maisha
Hawza/ Mustafa Bairam alisisitiza kuwa muqawama nchini Lebanon, sambamba na watu wake, umefikia viwango vya juu kabisa vya wajibu wa kibinadamu na kitaifa katika kusimama upande wa wanyonge,…
-
Mwakilishi wa Hizbullah:
DuniaLicha ya Mashinikizo Yote, Muqawama Utaendelea Kumiliki Silaha
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Faisal Shukr alisisitiza kuwa; bendera ya muqawama itaendelea kuinuliwa, na silaha zake, licha ya mashinikizo yote, silaha zitaendelea kubakia mikononi mwa wapiganaji…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi Iran, Katika Kikao na Waandaaji wa Kongamano la Kitaifa la Kuadhimisha Mashahidi wa Mkoa wa Alborz Nchini Humo:
DuniaNi lazima Thamani na Motisha za Mashahidi Zihamishiwe kizazi kijacho/ Umuhimu wa Kufafanua kwa Ubunifu wa Kisanaa Maadili ya Ulinzi Mtakatifu
Hawzah/ Ayatollah Sayyid Ali Khamenei amesisitiza: kuhamisha thamani na motisha za kipindi cha Ulinzi Mtakatifu kukielekea kizazi kipya kunahitaji kazi ya kisanaa na ufuatiliaji usiokatika.
-
Ayatollah A‘rafi Katika Kikao na Wakurugenzi na Manaibu wa Utafiti wa Hawza ya Qom Iran:
HawzaUtafiti ndani ya Hawza una Jukumu la Kuongoza/ Leo tuko Katikati ya Mapambano Makubwa ya Kiakili na Kimaendeleo
Hawza/ Ayatollah A‘rafi, akielezea nafasi ya kipekee ya Hawza, alisema: “Leo katika ulimwengu mzima, nguzo kuu ya uzalishaji wa fikra kwa ajili ya Mapinduzi ya Kiislamu na katika kujibu mahitaji…
-
HawzaAyatullah Hosseini Bushehri: Hawza Inaenda Sambamba na Mabadiliko
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza alisema: Matokeo ya shughuli za vituo vyetu vya kielimu yanapaswa siku zote kuwepo juu ya meza za viongozi. Haitoshi kujitosheleza kwa kuwasilisha vitabu…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
DuniaNjia Isiyo na Kifani ya Mwenyezi Mungu kwa Ajili ya Kumlea Mwanadamu
Hawza/ Mwenyezi Mungu katika aya ya 90 ya Surah An-Nahl, badala ya kutumia amri na katazo kali, anatumia lugha ya mafundisho: «يَعِظُكُمْ لَعَلَّكُمْ تَذَكَّــرُونَ». Huu ni mtindo wa kipekee…
-
Mwanzuoni Mashuhuri kwa Kishia Nchini Pakistan:
DuniaMwanazuoni wa Dini Lazima Daima Awe Kwenye Njia ya Kutafuta Elimu na Kuhifadhi Kazi za Kielimu
Hawza/ Ayatollah Hafiz Sayyid Riyaadh Hussain Najafi katika hotuba yake alisisitiza umuhimu wa kutafuta elimu mara kwa mara, kuhifadhi kazi za kisayansi za wataalimu, na kufundisha Qur'an na…
-
DuniaRadi Amali ya Kamati ya Uongozi wa Michezo ya Hawza Nchini Iran, Kuhusu “Mechi ya Kifahari ya Mashoga”
Hawza/ Kufuatia kuitwa kwa mchezo wa timu ya taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kwa jina la “Mechi ya Fahari” (Pride Match) na FIFA pamoja na Kamati ya Maandalizi…
-
Ayatollah A‘arafi Katika Hotuba Yake Kwenye Chuo Kikuu cha Qum Iran:
HawzaSayansi ya Kibinadamu ya Kiislamu Ndio Msingi na Roho ya Tamko la Hatua ya Pili ya Mapinduzi ya Iran/ Nashangaa Baadhi Wanasema Hakuna Sayansi ya Kibinadamu ya Kiislamu
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, huku akisisitiza kwamba sayansi ya kibinadamu ya Kiislamu ndio msingi na roho ya Tamko la Hatua ya Pili ya Mapinduzi, alisema: Kila kinachopuuzwa kuhusu…
-
Hukumu za Kisheria:
DuniaKuweka Picha na Video Binafsi Kwenye Wasifu (Profile)
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi amejibu swali la kisheria (istiftaa) kuhusiana na suala la “kuweka picha na video binafsi kwenye wasifu (profile)”.
-
Ayatollah Kaabi:
DuniaChanzo cha Uadui wa Marekani ni Hofu ya “Kusimamishwa Uislamu Halisi” / Ghaza; maonyesho ya aibu ya Ustaarabu wa Magharibi
Hawza/ Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza Qum, huku akisisitiza kwamba chanzo kikuu cha uadui wa Marekani, utawala wa Kizayuni na Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, ni hofu ya…
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa wa Melbourne, Australia, Alaani Shambulio Dhidi ya Hafla ya Kidini ya Wayahudi
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Abulqasim Razavi, katika tamko alilotoa kufuatia shambulio la kutumia silaha dhidi ya hafla ya kidini ya Wayahudi huko Sydney, pamoja na kulaani vikali…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaHistoria Imethibitisha Kwamba Sisi ni Watu Wakubwa Kuliko Migawanyiko
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafari wa Lebanon amesema: Mwanadamu ndiye kitu kitakatifu zaidi miongoni mwa vitakatifu vya Mwenyezi Mungu, na hakuna utakatifu wowote kwa maslahi ya mwanadamu isipokuwa…
-
DuniaZiara ya Kihistoria: Wawakilishi wa Makabila Mbali Mbali Niger, Wakutana na Sheikh Ibraheem Zakzaky + Picha
Hawza/nJumamosi, 13 Desemba 2025, baadhi ya wawakilishi wa jamii za kikabila kutoka Jamhuri ya Niger walifanya ziara ya kumtembelea kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibraheem Zakzaky,…
-
Mafunzo Katika Sahifat Sajjadia:
DiniJe! Ni Vipi Tutasalia Katika Njia ya Kuridhiwa na Mwenyezi Mungu
Hawza/ Imam Zaynu al-Abidin (a.s) ndani ya Sahifa Sajadiya katika dua yenye maana ya kina, anamuomba Mungu ampe uwezo wa kuchagua njia inayomridhisha Mwenyezi Mungu, anapokutana na mitihani ya…
-
HawzaAyatollah Udhma Golpaygani (ra), Ni Shakhsia Kubwa katika Historia ya Hawza/ Hafla ya Kumbukizi Yake ni Siku ya Jumanne
Hawza/ Hujjat al-Islam wa al-Muslimin Barqi ameashiria kuwa hafla ya kumbukumbu ya Ayatollah al-‘udhma Golpaygani (rahimahullah) itafanyika siku ya Jumanne, 16 December 2025, baada ya Swala ya…
-
Kongamano la 11 la Kimataifa la Al-Kawthar, Lafanyika Huko Najaf:
DuniaUfafanuzi wa Mwenendo Mtukufu na Wenye Nuru wa Bibi Fatima Zahra (a.s.)
Hawza/ Kutokana na mnasaba wa maadhimisho ya kuzaliwa mwenye heri na baraka Bibi Fatima Zahra, amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake, pamoja na maadhimisho ya pili ya kufariki Ayatollah Sheikh…
-
Mafunzo Katika Qur'an:
DiniIli Waislamu Wawe Bora, Qur'an Imetoa Sharti Hili
Hawza/ Ufunguo wa heshima na ushindi kwa Waislamu upo katika imani thabiti, kusimama imara katika njia ya haki, na kushikamana na maadili ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’ani…
-
DuniaHarakati ya Kiislamu Nchini Nigeria, Yaadhimisha Kumbukumbu ya Kuzaliwa Sayyida Fatima al-Zahra (as) + Picha
Hawza/ harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Sayyida Fatima al-Zahra (as), ambae ni binti wa Mtume (saww), na mke wa Imam Ali (as), vile vile pia ni mama wa…
-
DuniaKundi la Masheikh wa Senegal, Wakutana na Kiongozi wa Tijaniyya wa Eneo la Al-Tamasin, Algeria + Picha
Hawza / Kundi la watafiti na mashaykh wa madhehebu ya Tijaniyya kutoka nchi ya Senegal walikutana na Kiongozi wa Tariqa ya Tijaniyya katika eneo la Al-Tamasin, lililopo nchini Algeria.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaHashdu Shaabi Imeiokoa Iraq Dhidi ya Mifarakano
Hawza/ Ayatollah Sayyid Yasin Mousawi, Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, huku akisisitiza nafasi ya kipekee na isiyopingika ya Hashdu Shaabi katika kuiokoa Iraq dhidi ya mifarakano na kusambaratika…
-
Ayatullah A‘rafi katika Khutuba ya Swala ya Ijumaa Qum Iran:
HawzaNahjul-Balagha ni Nakala ya Utawala wa Kiislamu / Tumfasiri Mwanamke kwa Kutumia Kigezo cha Bibi Fa'tima
Hawza/ Khatibu wa swala ya Ijumaa Qum amesema: Katika muundo wa Kiislamu, maslahi jumuishi ya mwanamke, mwanaume, watoto na jamii huzingatiwa katika kuweka kanuni. Tukikusanya mizani ya maslahi…
-
Ayatollah Al-Udhma Jawadi Amoli:
DiniVijana na Mabinti Wawe ni Wenye Shukrani Kutokana na Jitihada Walizo Zifanya Wazazi Wao Kwao
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Jawadi Amoli aliwashauri wasichana na wavulana kuwa wenye shukrani kwa juhudi zilizofanywa na baba na mama kuwaelekea wao.
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) Ahudhuria Hafla ya Ndoa ya Vijana 100 Jijini Tanga + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika hafla maalumu ya ndoa za pamoja kwa vijana 100 iliyofanyika leo jijini Tanga.
-
Ayatullah Khatami Katika Kongamano la Kitaifa la Mbebabendera ya Tafsiri ya Qur'an:
HawzaLazima Kuzinduliwe Harakati ya Tafsiri ya Qur’ani
Hawza/ Mjumbe wa Baraza la Wataalamu wa Uongozi (Shura-ye Negahban), katika Mkutano wa Kitaifa wa "Mbebabendera ya Tafsiri", huku akisisitiza ulazima wa kuzinduliwa harakati ya tafsiri ya Qur’ani,…