Kwa mujibu wa ripoti kutoka katika Shirika la Habari la Hawza, Hujjatul Islam wal-Muslimin Mowahhidnejad, ambaye ni mjumbe wa kamati hiyo, alisema kuwa inatarajiwa mwezi mwandamo wa Shawwal utaonekana kwa urahisi jioni ya Jumapili tarehe 30 Machi.
Ameeleza kuwa: Kutokana na hilo, inatarajiwa kuwa jumatatu tarehe 31 Machi itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal na Sikukuu ya Idd-al-Fitr.
Maoni yako