Mashia wanaamini kuwa njia ya uongofu kwa waja wa Mwenyezi Mungu baada ya mitume wa Mwenyezi Mungu, na hasa Mtume Muhammad - rehma za Mungu ziwe juu yao wote - inaendelea kupitia “uimamu wa Maimamu…