imam khamenei (4)
-
Kiongozi wa mapinduzi katika mkutano wake na pamoja maafisa wa serikali na mabalozi wa nchi za kiislamu alisisitiza kuwa:
DuniaUmoja katika ulimwengu wa kiislamu ndiyo njia pekee ya kusimama dhidi ya uonevu unaofanywa na dola kubwa
Kwa mujibu wa shirika la habari la Hawza, kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, asubuhi ya leo hii, alipokutana na maafisa wa serikali, pamoja mabalozi wa nchi za kiislamu na wakiwepo na baadhi…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika hotuba ya swala ya Eid:
DuniaIkiwa Marekani na utawala wa Kizayuni watafanya uovu, hakika watapokea pigo kali/ kama wanataka kuzusha fitna ndani ya nchi, jibu kali litafuata
Hawza: Swala ya Eid al-Fitr leo asubuhi imeswaliwa kwa hali ya kipekee na kwa hamasa kubwa katika maeneo yote ya nchi, ambapo waumini wa Kiislamu walikusanyika kwa wingi kuadhimisha siku hii…
-
Kiongozi wa Mapinduzi katika ujumbe wa televisheni alisisitiza kuwa:
DuniaMatembezi ya mwaka huu ni miongoni mwa matembezi bora zaidi, yaliyo na heshima na utukufu zaidi kuliko matembezi mengine yaliyowahi kufanyika katika Siku ya Quds
Hawaza: Kiongozi wa Mapinduzi ya kiislamu, Hadhrat Ayatollah Khamenei, alisisitiza katika ujumbe wake wa televisheni usiku huu kuwa, matembezi ya mwaka huu ya Siku ya Quds ni muhimu zaidi kuliko…
-
DuniaAyatullah Khamenei: Ikiwa Marekani itafanya ukhabithi dhidi ya taifa la Iran, itazabwa kofi kali
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameionya Marekani dhidi ya kutumia lugha ya vitisho dhidi ya Iran.