Kundi la Eslami ya Multan, liliandaa maandamano makubwa kwa ajili ya kuwahami watu wa Palestina, huku ilikemea vikali uhalifu unaofanywa na Israel huko Gaza.
Takriban Wapalestina 80,000 wameswali Swala ya Ijumaa ya tatu ya mwezi wa Ramadhani hii leo katika Msikiti wa Al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, licha ya vikwazo vya Israel…