Janga la Njaa Ghaza (7)
-
Barua ya wazi ya Jumuiya ya Walimu wa Hawza (J'amiatul-Mudrrisin) kwa Maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu:
HawzaLeo ni wajibu kwa maulamaa wa umma kupaza sauti kwa ajili ya kuwaokoa watu wa Palestina
Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom: Leo ni wajibu na jukumu juu ya maulamaa wa umma kuvunja ukimya dhidi ya jinai hii ya wazi na ukimya wa madola ya kisiasa ya nchi za Kiislamu, pamoja…
-
Ayatollah al-Udhma Nouri Hamedani:
HawzaMheshimiwa Papa; Je, ikiwa Nabii Isa (as) angelikuwepo, angeweza kustahimili hali ya kutisha ya Ghaza na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni?
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Nouri Hamedani katika barua yake kwa Papa amesema: Katika hali hii ya kutisha ya Ghaza, je, ikiwa Manabii wa Mwenyezi Mungu kama Nabii Isa (as) na Nabii Muhammad (saw)…
-
Ayatollah al-Udhma Nouri Hamedani katika tamko lake rasmi amebainisha kuwa:
HawzaWatu wote waaminifu katika Ulimwengu wa Kiislamu watimize wajibu wao wa Kiislamu na kibinadamu kwa ajili ya watu wa Ghaza / Mwamko wa Umma wa Kiislamu unahitaji kilio cha kudai haki na hatua ya pamoja
Hawza/ Ayatollah Nouri Hamedani amesisitiza kuwa: Sasa ni wakati ambapo watu wote waaminifu wa ulimwengu wa Kiislamu—wakiwemo wanazuoni, wasomi na viongozi wa serikali—waweke kando tofauti za…
-
DuniaAyatollah Yaqubi atoa wito kwa ajili ya kutoa msaada wa haraka wa chakula na dawa huko Ghaza
Hawza/ Ayatollah Sheikh Muhammad Yaqubi ametoa wito na kuchukuliwa hatua za haraka ili kuwaokoa watu wa Ghaza dhidi ya njaa inayowakabili na kifo, na akazitaka serikali ya Iraq na nchi za Kiislamu…
-
DuniaMaulamaa mashuhuri wa Bahrain: Umma wa Kiislamu na Umoja wa Kimataifa wana wajibu wa kimaadili na kisheria kuondosha vizuizi na Klkuwasaidia watu wa Ghaza
Hawza/ Maulamaa mashuhuri wa Bahrain wamelaani vikali kuzingirwa Ghaza na kuwaacha wakiwa na njaa wakazi wake, kitendo ambacho kinafanywa na utawala wa Kizayuni, na pia wamekosoa hali ya baadhi…
-
DuniaJe, Brazil kujiunga na safu ya waungaji mkono Palestina ni hatua ya mabadiliko?
Hawza/ Katika hatua yenye mvumo mkubwa wa kidiplomasia, nchi ya Brazil imeungana na wanaounga mkono kuishtaki Israel, mashtaka ambayo yaliwasilishwa hivi karibuni katika Mahakama ya Kimataifa…
-
DuniaHali ya janga la Njaa Ghaza
Hawza/ Ukanda wa Ghaza, chini ya kuzingirwa vikali na utawala wa Kizayuni pamoja na Misri, unakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu, ambapo jambo kuu kabisa ni njaa ya kiwango cha juu na uhaba…