Imam Hussein (4)
-
Ayatollah A‘raafi katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa mwezi wa Muharram:
HawzaMaombolezo ya Muharram ya mwaka huu yafanyike kwa namna ya adhama zaidi kuliko miaka iliyopita / Hawza na maulamaa daima wamesimama imara juu ya ahadi yao kwa raia
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza amesisitiza kuwa: Maombolezo ya mwezi wa Muharram mwaka huu yanapaswa kufanyika kwa namna ya adhama zaidi kuliko zamani kwa lengo la kuimarisha hamasa ya Ashura na…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan:
DuniaImam Hussein (as) ni kielelezo cha uhuru na haki; maombolezo ni haki ya raia na urithi wa muqawama
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa kuwadia kwa mwezi mtukufu wa Muharram al-Haram, amesisitiza kuwa uendeshaji wa maombolezo…
-
PichaPicha / Kikao cha kubadilishana fikra; Viongozi, wanaharakati, na muballeghina wa Sekta ya Kimataifa
Kikao cha kubadilishana fikra cha Viongozi, wanaharakati, na muballeghina wa Sekta ya Kimataifa, kikiwa na maudhui isemayo "Ulazima wa tablighi ya Kimataifa katika Arbain ya Imam Hussein (a.s.)",…
-
HawzaAyatollah Arafi: Kanzu Tukufu ya Bwana wa Mashahidi (a.s) ni Ensaiklopidia ya Ustahimilivu
Mudiri wa Hawza nchini Irani katika ujumbe wake kwenye mkutano na wasomi wa mimbari za Kishia alisisitiza kuwa: Kanzu tukufu ya Bwana wa Mashahidi (a.s) ni hati na alama kamili ya damu zilizomwagika…