Ijumaa 15 Agosti 2025 - 10:26
Arubaini ni hazina kubwa inayotokana na mapenzi, kujitolea na utu

Hawza/ Hadhrat Ayatollah Makarim amesisitiza kuwa: Arubaini si matembezi tu; ni hazina kubwa inayotokana na mapenzi, kujitolea na ubinadamu ambayo haina mfano wowote duniani.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Hawza, hadhrat Ayatollah Makarim Shirazi katika ujumbe wake amezungumzia nafasi ya Arubaini na akasema: Arubaini si matembezi tu; ni hazina kubwa inayo tokana na mapenzi, kujitolea na utu, kwa mvuto alio nao Imam Husein (a.s.), hutengeneza mandhari ambazo hazina mfano wowote duniani.

Ni sehemu gani umeona mtoto wa kike mdogo akikaa, akiweka sinia kichwani na ndani yake kuweka maji au tishu kwa ajili ya mazuwari? Au bila madai yoyote, wakipiga kiwi viatu, wakiikanda miguu ya mazuwaru, bila ya kutarajia malipo yoyote?

Katika Arubaini, kila kitu kina sura ya ubora wa hali ya juu: umati bora zaidi, huduma bora zaidi, mapenzi bora zaidi, na mshikamano wa kina zaidi.

Mwisho wa ujumbe.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha