marufuku Hijabu (6)
-
Ayatollah Al-Udhma Makarim Shirazi:
DuniaArubaini ni hazina kubwa inayotokana na mapenzi, kujitolea na utu
Hawza/ Hadhrat Ayatollah Makarim amesisitiza kuwa: Arubaini si matembezi tu; ni hazina kubwa inayotokana na mapenzi, kujitolea na ubinadamu ambayo haina mfano wowote duniani.
-
DuniaMashtaka dhidi ya taasisi ya utekelezaji wa sheria huko California, kwa sababu ya hatua zake dhidi ya hijabu kwa wanawake
Hawza/ Wanafunzi wawili wa Kiislamu wamewasilisha mashtaka dhidi ya taasisi ya utekelezaji wa sheria katika moja ya maeneo ya jimbo la California.
-
DuniaHijabu nchini Nigeria yateka vyombo vya Habari
Hawza/ Bi Hamda Adenike alishindwa kushiriki katika kikao cha mtihani wa taasisi ya kielimu kwa sababu ya kuwa na hijabu.
-
DuniaWaziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa ataka hijabu ipigwe marufuku vyuoni
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Bruno Retailleau, jana alitangaza kuwa ana azma ya kuzuia uvaaji wa hijabu katika vyuo vikuu.
-
DuniaKitendo cha kupiga marufuku Hijabu, ni ishara tosha ya kupuuzwa kwa haki za wanawake
Kufuatia kuongezeka kwa chuki dhidi ya uislamu, Bi Bayraktar, mjumbe wa bodi ya Wanawake na Demokrasia, amesema: kupigwa marufuku mavazi ya dini kama vile hijabu kumewafanya wanawake waislamu…
-
DuniaWanamichezo wakosoa mpango wa Ufaransa kupiga marufuku Hijabu katika mashindano
Wanamichezo wanawake wa Kiislamu nchini Ufaransa wamejitokeza kupinga muswada mpya wa sheria unaolenga kupiga marufuku uvaaji wa Hijabu katika mashindano ya michezo ya kitaifa, wakisema hatua…