Hawza/ Uongozi wa AhlulBayt Assembly of Kenya umeungana na waumini katika eneo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa, kushiriki katika maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), katika matembezi maalumu…
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousavi ameitaja ziara ya Arubaini kuwa ni “ngao ya kiroho” dhidi ya hali ya kukata tamaa inayoukabili Umma, na kwa kurejelea uwepo wa mamilioni ya mazuwari, amesema…
Hawza/ Katika mwendelezo wa shughuli za maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), Jumuiya ya Aimmat Huda't imefanya Kongamano la Wahubiri wa Afrika mjini Karbala, likiwakutanisha wahubiri…
Hawza/ Ayatullah Jawadi Amuli amesisitiza kuwa: Harakati ya Arubaini ni zao la ule ujumbe wa milele uliotolewa na Bibi Zaynab Kubra (as) aliposema: “Sisi hatutanyamazishwa kamwe.”
Hawza/ Sheikh Adel Al-Shaala, mwanazuoni wa Kishia wa Bahrain, amesisitiza kwamba; ibada ya kuwazuru Maimamu Maasumina (as) si kama hukumu nyingine za kisheria, bali ni miongoni mwa alama na…