Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na tano:
اللّهُمَّ ارْزُقْنِی فِیهِ طاعَةَ الْخاشِعِینَ، وَاشْرَحْ فِیهِ صَدْرِی بِإِنابَةِ الْمُخْبِتِینَ، بِأَمانِک یا أَمانَ الْخائِفِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Niruzuku utiifu wa wenye kunyenyekea katika mwezi huu, na Unikunjue kifua changu katika mwezi huu kwa toba za wenye kunyenyekea kwa Amani yako ewe Amani ya wenye kuogopa.
Maoni yako