Jumatano 19 Februari 2025 - 10:18
Acha maisha ya kidhalili

Kifo cha heshima ni bora kuliko maisha ya kidhalili. Mauti ni bora kuliko kuhusishwa na udhalili, na udhalili ni bora kuliko kuingia Motoni.

Shirika la Habari la "Hawza", Imamu Hussein (a.s) amesema:

«مَوْتٌ في عِزٍّ خَيْرٌ مِنْ حَياةٍ في ذُلٍّ، اَلْمَوْتُ اَوْلى مِنْ رُكُوبِ الْعارِ، وَالْعارُ اَوْلى مِنْ دُخُولِ النّارِ.»

"Kifo cha heshima ni bora kuliko maisha ya kidhalili. Mauti ni bora kuliko kuhusishwa na udhalili, na udhalili ni bora kuliko kuingia Motoni."

Mausu'at Kalimat al-Imam al-Hussein (a.s), uk 499

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha