Kwa mujibu wa kundi la Tarjama la Shirika la Habari la "Hawza", Kundi la wawakilishi wa Madhabahu / Haram Tukufu ya Imam Hussein walitembelea nyumba ya Ayatollah Jawad A'mouli na kumkabidhi zawadi ya Bendera iliyobarikiwa ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (Amani iwe juu yake).

Utoaji wa zawadi ya Bendera ya Haram Tukufu ya Imam Hossein (amani iwe juu yake) kwa Ayatollah Jawad A'mouli
Kundi la wawakilishi wa Madhabahu / Haram Tukufu ya Imam Hussein walitembelea nyumba ya Ayatollah Jawad A'mouli na kumkabidhi zawadi ya Bendera iliyobarikiwa ya Haram Tukufu ya Imam Hussein (Amani iwe juu yake).
Maoni yako