Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa kikundi cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, Kundi la Eslam Multan kutokana na kuandaa maandamano makubwa ya kuunga mkono watu wa Palestina, ilikemea vikali uhalifu unaofanywa na Israel huko Gaza.
Katika mkusanyiko huu, wahadhiri walisisitiza kuendelea kuunga mkono Muqawama wa Palestina na kusimama imara dhidi ya dhulma na ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni.
Maoni yako