Mwenye mamlaka ya juu kabisa juu ya kila kitu ni Mwenye Mungu, na wote wanapaswa kumtii Yeye peke yake. Kwa hivyo ni wazi kabisa kwamba mamlaka hii inaweza kutolewa na Allah kwa yeyote yule kulingana…
Imam, ambaye ni kiongozi na muongozaji wa jamii, ni lazima ajiepushe na maovu yote pamoja na tabia potofu kimaadili, na badala yake awe ni mwenye sifa zote bora na maadili ya kiwango cha juu…