Iraqi (42)
-
Mjumbe wa Baraza la Nineveh:
DuniaHashd al-Shaabi ni nguzo kuu ya usalama wa eneo
Hawzah/ Rabii Soran, mjumbe wa Baraza la Mkoa wa Nineveh kutoka katika jamii ya Wakristo, amesisitiza kwamba; silaha kuwa chini ya mamlaka ya serikali hakumaanishi kwa namna yoyote kuvunjwa au…
-
Vikosi vya Hizbullah Iraq:
DuniaKukombolewa pwani ya magharibi ya Yemen ni kofi kubwa kwa miradi ya Kizayuni na Marekani
Hawzah/ Vikosi vya Hizbullah Iraq, vimeelezea kuwa ushindi wa kimkakati wa Vikosi vya Wanajeshi na watu huru wa Yemen katika mapambano ya kuwasafisha wavamizi katika maeneo ya pwani ya magharibi…
-
Imam wa Ijumaa wa Baghdad:
DuniaIraq Inahitaji Serikali Itakayowaokoa Wananchi na Kulinda Utawala wa Nchi
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Al-Mousawi, Imam wa Ijumaa wa Baghdad, amekosoa sera za kiuchumi na utendaji wa kisiasa wa baadhi ya viongozi, huku akisisitiza umuhimu wa kuundwa serikali ya wananchi,…
-
DuniaHawzah ya Ayatullah Ka'dhimi Yafunguliwa Mjini Ka'dhimain; Hatua Mpya katika Kukuza Elimu za Hawza
Hawza/ Jiji takatifu la Ka'dhimain Iraq, limeshuhudia hafla ya uzinduzi wa “Hawza ya Ayatullah Sheikh Muhammad Hussein Ka'dhimi” kwa ajili ya masomo ya elimu za Hawza, iliyofanyika jirani na…
-
DuniaSafari ya Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kishia la Lebanon Nchini Iraq na Kukutana na Viongozi wa Iraq
Hawza/ Sheikh Ali Al-Khatib, Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia, amekutana na Viongozi kadhaa wa Iraq ili kuwafahamisha kuhusu maendeleo ya hali nchini Lebanon.
-
DuniaImamu wa Ijumaa wa Najaf Asisitiza Urafiki wa Pande Mbili kati ya Iraq na Iran katika Ngazi Zote
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanji amesema: Tunakaribisha njia ya amani katika kushughulikia suala la ukiritimba wa silaha, na suala hili linapaswa kutatuliwa kwa moyo…
-
Imam wa Ijumaa wa Baghdad:
Dunia“Silaha ya Serikali ni Silaha Inayoilinda Iraq” - Uingiliaji wa Marekani katika Suala la Muqawama Haukubaliki
Hawza/ Imam wa Ijumaa wa Baghdad, Ayatullah Sayyid Yasin Mousavi, akisisitiza kwamba; “silaha ya Serikali” ni kila silaha inayoilinda Iraq, ameitaja kuwa haikubaliki Marekani kuingilia katika…
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad Atahadharisha Juu ya Juhudi za Marekani za Kudhoofisha Umoja wa Vikosi vya Ulinzi vya Iraq
Hawzah/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousavi ameitaja ziara ya Arubaini kuwa ni “ngao ya kiroho” dhidi ya hali ya kukata tamaa inayoukabili Umma, na kwa kurejelea uwepo wa mamilioni ya mazuwari, amesema…
-
DuniaHafla ya Mazishi ya Miili ya Baadhi ya Makamanda wa Hashd al-Shaabi Yafanyika Katika Eneo la Haram ya Hadhrat Abul-Fadhl al-Abbas (as)
Hawza/ Uwanja wa Haram ya Hadhrat Abul-Fadhl al-Abbas (as) umeshuhudia hafla ya mazishi ya miili ya baadhi ya mashahidi wa Hashd al-Shaabi.
-
DuniaChuo Kikuu cha Al-Zahra mjini Karbala chawa mwenyeji wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Ulingano wa al-Aqsa”
Hawza/ Chuo Kikuu cha Al-Zahra mjini Karbala kilikuwa mwenyeji wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Nidaa al-Aqsa”, lililohudhuriwa na wajumbe na shakhsia kutoka nchi mbalimbali.
-
DuniaAyatullah A'rafi atembelea nyumba ya Marehemu Ayatullah al-Udhma Fayyadh
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, akiendelea na ziara yake nchini Iraq, alitembelea nyumba ya Marehemu Ayatullah al-Udhma Sheikh Is'haq Fayyadh, mmoja wa Marajii Wakuu wa Taqlidi nchini…
-
Katika Kongamano la “Ulingano wa al-Aqsa” mjini Karbala:
DuniaAyatullah A'rafi asisitiza kuwa, Iran itaendelea kuiunga mkono Palestina
Hawza/ Ayatullah A'rafi katika hotuba yake kwenye kikao cha ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Nidaa al-Aqsa” lililofanyika Karbala, alisisitiza kuendelea kwa uungaji mkono wa Jamhuri…
-
DuniaMkutano Mkuu wa Kamati ya Arubaini ya Hawza na Masheikh, pamoja na Viongozi wa Kikabila wa Mkoa wa Al-Muthanna Wafanyika/ Yasisitizwa Umoja na Mshikamano wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Mkuu wa Kamati ya Arubaini ya Hawza za Kielimu amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la masheikh pamoja na viongozi wa makabila wa Mkoa wa Al-Muthanna.
-
DuniaMwandishi wa Habari Aliyemrushia Bush Kiatu: Ushirikiano wa Muqawama Kati ya Mashia na Masunni Ulishinda Uvamizi wa Marekani Nchini Iraq
Hawza/ Muntadhar al-Zaidi, mwandishi wa habari wa Iraq ambaye aligeuka kuwa alama ya kimataifa ya muqawama dhidi ya ukoloni baada ya kumrushia George Bush kiatu mwaka 2008, ameeleza undani wa…
-
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Alishukuru Taifa la Iraq kwa Heshima Yake Katika Mazishi ya Imam Shahidi
Hawza/ Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa kulishukuru taifa la Iraq kwa heshima ya tukio kubwa la mazishi ya Imam Muja'hid Shahidi.
-
Ayatullah Sheikh Issa Qassim:
DuniaWairaq Wamewasilisha Mfano wa Kipekee katika Mapokezi na Mazishi ya Imam Khamenei
Hawza/ Ayatullah Sheikh Issa Qassim, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain, ametoa shukrani na pongezi kwa wananchi wa Iraq kwa kuandaa mapokezi na mazishi makubwa na yenye kugusa hisia…
-
VideoVideo | Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi
Wananchi wa Iraq wamemwagia maua jeneza la kiongozi shahidi katika mitaa ya Karbala.
-
DuniaKa'dhimayn Yapokea Miili Mitukufu ya Familia ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hawza/ Mji mtukufu wa Ka'dhimayn nchini Iraq umejawa na hali ya huzuni na majonzi baada ya kupokea miili mitukufu ya familia ya Mtukufu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi…
-
DuniaMamilioni ya Wairaq Wajiandaa Kumpokea Kiongozi Shahidi, Imam Khamenei, huko Najaf na Karbala
Hawza/ Kadiri muda wa mazishi ya mwili wa Kiongozi Shahidi, Ayatullah al-Udhma Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei, nchini Iraq uliopangwa kufanyika siku ya Jumatano unavyokaribia, ndivyo maandalizi…
-
Mwakilishi wa Ayatullah Sistani:
DuniaHeshima ya Kumhudumia Imam Hussein (as) Hukamilika kwa Kushikamana na Njia ya Ahlul-Bayt (as)
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Abdul Mahdi Karbalai amesisitiza kuwa; kumhudumia Imam Hussein (as) hakuishii katika kutekeleza majukumu ya kazi pekee, bali hukamilika kwa kushikamana…
-
DuniaUjumbe Muhimu wa Ushiriki wa Wairaqi Katika Mazishi ya Imam Shahidi, Khamenei (ra)
Hawza / Mwandishi wa Kiiraqi, Muhammad Sadiq Al-Hashimi, ameandika: Mazishi makubwa yatakayoshuhudiwa kutoka kwa Mashia wa Iraq yanamaanisha uaminifu kwa Mapinduzi ya Kiislamu, kwa njia ya Ahlul-Bayt…
-
Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaAshura ni Mradi wa Kudumu wa Mageuzi
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi, Imam wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad, amesema kuwa; Ashura si tukio la kihistoria tu, bali ni "mradi wa kudumu wa mageuzi", na akasisitiza kwamba kupigania…
-
Rais wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlus-Sunnah Iraq:
DuniaDamu ya Mashahidi Iliuvunja Ushawishi wa Marekani na Uzayuni
Hawza/ Sheikh Khalid Al-Mulla, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlus-Sunnah nchini Iraq, katika mkutano wa kimataifa wenye anuani ya “Watoto Mashahidi, Kushindwa kwa Tawwla ya Marekani…
-
Mwakilishi wa Ayatullah al-Udhma Sistani:
DuniaMadrasah ya Imam Hussein (as) Ni Sababu ya Kuvuruga Mipango ya Maadui
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ahmad Safi amesisitiza kwamba; shughuli za tablighi ni jukumu linalobebwa na kila mtu, na zina athari kubwa katika ujenzi wa jamii.
-
DuniaMaandalizi ya Hafla ya Kubadilisha Bendera ya Kuba ya Haram ya Hadhrat Abul-Fadhl al-Abbas (as)
Hawza/ Kamati ya Hafla ya Kubadilisha Bendera katika Haram Takatifu ya Abbasiyya imetangaza kukamilika maandalizi yake kwa ajili ya kuandaa hafla ya kubadilisha bendera ya kuba ya Haram Tukufu…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaNchi kujitegemea ni Mstari Mwekundu; Iraq Inahitaji Uelewa wa Kisiasa wa Kukataa Uingiliaji wa Kigeni
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi amesisitiza kwamba; “Nchi kujitegemea ni mstari mwekundu” kwa Iraq, na ameonya kwamba; juhudi za kueneza na kuimarisha utamaduni wa utegemezi kwa mataifa…
-
DuniaMwakilishi wa Bunge la Iraq/ Iraq na Iran ni Mataifa Mawili yenye udugu
Hawza/ Mwakilishi wa Bunge la Iraq alisema: Iraq na Iran ni mataifa mawili ndugu ambayo yana mizizi ya pamoja katika itikadi za Kiislamu, maadili ya kidini na mipaka ya kijiografia inayowakutanisha.
-
DuniaMashinikizo ya Marekani yanazuia kukamilika kwa mchakato wa kuiunda serikali mpya ya Iraq
Hawza/ Wakati juhudi na hatua za mikondo mbalimbali ya kisiasa nchini Iraq za kukamilisha uundaji wa serikali mpya zinaendelea, vyanzo vyenye taarifa vimeripoti kuwepo kwa hujuma za Marekani.
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad atahadharisha kuhusu kuongezeka kwa mpasuko kati ya tabaka la kisiasa na wananchi wa Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi ameonya kuhusu kuwepo kwa mpasuko mkubwa kati ya tabaka la kisiasa na wananchi wa Iraq, huku akisisitiza kuwa; nchi ipo katika njia panda kati ya mamlaka…
-
Sheikh Al-Khazali:
DuniaMuqawama haujajikita katika kazi za kijeshi pekee, bali umefunguka hadi katika kulijenga taifa lenye nguvu
Hawza/ Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq amesema kuwa; Muqawama haupaswi kutazamwa kuwa umefungika katika shughuli za kijeshi pekee, bali ni mwelekeo unaoendelea kuelekea katika ujenzi…