Kwa mujibu wa ripoti kutoka katika Shirika la Habari la Hawza, Hujjatul Islam wal-Muslimin Sayyid Jawad Shahristani, ambaye ni mwakilishi wa Ayatollah Udhma Sistani, alifika katika makazi ya Ayatollah Udhma Nouri Hamedani jioni ya Jumatano baada ya kufuturu na kufanya nae mazungumzo.
Katika mazungumzo yao, Hujjatul Islam wal-Muslimin Shahristani aliwasilisha salamu za Ayatollah Sistani.
Maoni yako