Jumamosi 5 Aprili 2025 - 06:14
Kuwa jirani mzuri

Kuwa jirani mzuri hakuna maana ya kutomuudhi jirani, bali ujirani mwema (mzuri) ni subira yako kwa maudhi ya jirani.

Shirika la Habari la Hawza - Imamu Kadhim (a.s) amesema:

«لَيْسَ حُسْنُ اَلْجِوَارِ كَفَّ اَلْأَذَى وَ لَكِنْ حُسْنُ اَلْجِوَارِ صَبْرُكَ عَلَى اَلْأَذَى.»

"Kuwa jirani mzuri hakuna maana ya kutomuudhi jirani, bali ujirani mwema (mzuri) ni subira yako kwa maudhi ya jirani."

Al-kafi, Jz 2, uk 667

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha