Shirika la habari la "Hawza" - Imamu Baqir (a.s) amesema:
«لا شَفيعَ لِلْمَرْاَةِ اَنْجَحُ عِنْدَ رَبِّها مِنْ رِضا زَوْجِها.»
Hakuna uombezi wa mwanamke mbele ya Mwenyezi Mungu wenye kuokoa zaidi kama radhi ya mumewe. (mumewe kuwa radhi naye)
Bihar al-Anwar, Jz 78, uk 345
Maoni yako