Kwa mujibu wa ripoti ya Idara ya tarjama ya Shirika la Habari la Hawza, Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Waliul Hasan Rizvi A'zami,mwanazuoni mashuhuri na msomi hodari wa India aliyekuwa akiishi katika mji mtukufu wa Qom, ameaga dunia.
Marehemu katika maisha yake alitumia muda wake kwenye kufanya tafiti, uandishi, na kuihudumia elimu ya dini, na alitambuliwa kama mmoja wa wanazuoni mahiri.
Maoni yako