Shirika la Habari la Hawza - Imamu Ali (a.s) amesema:
«اُطْلُبْ لِأَخِيكَ عُذْراً فَإِنْ لَمْ تَجِدْ لَهُ عُذْراً فَالْتَمِسْ لَهُ عُذْراً.»
"Tafuta udhuru kwa neno na kitendo kibaya alichokifanya ndugu yako, na kama hukupata, mtafutie udhuru (ili asione haya)."
Al-khisal, Jz 2, uk 610
Maoni yako