Mtume (8)
-
DuniaMajlisi ya mwisho katika mwezi wa Safar yafanyika kwenye Markazi ya Fiqhi Aimmat At-hār huko London
Hawza / Hafla ya maombolezo ya kumbukumbu ya kufariki kwa Mtume wa Uislamu (saw) na pia kumbukumbu ya kuuwawa kishahidi Imam Hasan al-Mujtaba (as) na Imam Ridha (as) zimefanyika katika ofisi…
-
DuniaPicha/ Matembezi ya amani yaliyofanyika Zanzibar
Hawza/ Hawza ya Imam Ally (as) iliyopo Zanzibar nayo pia ilifanya Majlisi na baada ya majlisi hiyo wakafanya matembezi ya amani kwa ajili ya kuadhimisha kifo cha Mtume Muhammad (saw)
-
Ayatollah A‘rafi katika maadhimisho ya Siku ya Madaktari:
DuniaMtume Mtukufu (s.a.w.) ni kielelezo kamili cha maadili, elimu na uimara / Shukrani kwa huduma za mfumo wa afya wa taifa
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza nchini Irani, Ayatollah Alireza A‘rafi, akizungumza kuhusu mwenendo wa kina wa Mtume Mtukufu (s.a.w.) alisema: Mtume wa Mwenyezi Mungu pamoja na elimu na jihadi katika…
-
DuniaPicha/ Matembezi ya Amani ya kuadhimisha kifo cha Mtume Muhammad (saw) yaliyofanyika katika wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma nchini Tanzania
Hawza/ Waumini wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma nao hawakuwa nyuma katika kumuenzi Mtukufu wa Daraja, Mtume Muhammad (saw) kwa kufanya matembezi yaliyofana, chini ya usimamizi wa Sheikh Abdulatif…
-
DuniaMtafiti kutoka India: Sira ya Mtume na Imam Ali ni Mwongozo wa Kudumu kwa Viongozi na Wanasiasa wa Leo
Hawzah/ Hujjatul-Islam Zainul Abidin, katika kusisitiza nafasi ya sira ya Mtume Muhammad (saw) na Imam Hasan al-Mujtaba (as), amesema sira hii imejaa mafundisho ya uongozi na siasa na inaweza…
-
DuniaPicha / matembezi ya amani ya kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) yafanyika nchini Tanzania
Hawza/ Hawza ya Imaam Swadiq (as) chini ya usimamizi wa Samahat Sheikh Jalala iliandaa matembezi ya amani yaliyo husiana na kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) kwa ajili ya kuadhimisha…
-
Hadithi ya leo:
DiniUsicheleweshe kulipa ujira wa kibarua
Mlipe kibarua kabla jasho lake halijakauka.
-
Hadithi ya leo:
DiniChunga (mazingira) asili
Itakapowadia Siku ya Kiyama na mmoja wenu akawa ana mche mkononi mwake, akiweza kuupanda kabla ya kusimama Kiyama, basi aupande.