kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, ifuatayo ni ripoti inayo onesha picha mbali mbali zinazo bainisha washiki katika matembezi hayo:
Hawza/ Hawza ya Imaam Swadiq (as) chini ya usimamizi wa Samahat Sheikh Jalala iliandaa matembezi ya amani yaliyo husiana na kumbukumbu ya kifo cha Mtume Muhammad (saw) kwa ajili ya kuadhimisha siku hiyo, ambapo Mashia ulimwenguni kote kila mwaka inapofika tareh 28 ya mwezi wa Safar hutiririka barabarani huku wakidhihirisha majonzi yao kutokana na kifo cha mtukufu huyo wa daraja
kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, ifuatayo ni ripoti inayo onesha picha mbali mbali zinazo bainisha washiki katika matembezi hayo:
Maoni yako