Mtume Muhammad (45)
-
Hadithi ya Leo:
DiniSwadaka Iliyo Bora Zaidi Kwa Mwanadamu Kuitoa
Hawza/ Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.) katika riwaya anabainisha mojawapo ya aina bora zaidi za swadaka.
-
Usomaji wa Mijadala:
DiniHoja Potofu ya Muawiya katika Vita vya Swiffin na Jibu Madhubuti la Amir al-Mu’minin (a.s.)
Hawza/ Amir al-Mu’minin (a.s.) katikati ya fitina ya Swiffin, alikabiliwa na njama ya kisiasa na hoja ya kidanganyifu; lakini jibu lake fupi na lenye kufafanua lilitia changamoto kwenye mwelekeo…
-
DuniaAthari za Kumswalia Mtume (s.a.w.w) Katika Ulimwengu wa Barzakh
Hawza/ Sheikh Munir Sokoto, akifafanua nafasi ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w) katika Qur’ani Tukufu, alisisitiza umuhimu wa kumfuata Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) kwa vitendo. Pia, akinukuu riwaya…
-
DuniaKondoa Yatikisa kwa Sherehe za Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), Viongozi na Waumini Wakutana
Hawza/ Siku ya jana Alhamisi Oktoba 1, 2026, Kondoa Mjini lilishuhudia hafla kubwa ya kuadhimisha Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w.), iliyowakutanisha viongozi wa dini, masheikh, wanazuoni…
-
Hadithi ya Leo:
DuniaFadhila na Ubora wa Kuanza Kutoa Salamu
Hawza/ Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w) katika riwaya, ameelezea kuhusu fadhila ya kuwa wa kwanza kusalimia na nafasi ya jambo hilo mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake.
-
DuniaSemina Maalumu ya Mtandaoni Inayohusu Maisha ya Mtume (s.a.w.w) kufanyika
Hawza/ Mtandao wa Kimataifa wa Maarifa ya Ahlul-Bayt (as), kwa kushirikiana na Umoja wa Kimataifa wa Maprofesa na Wahadhiri wa Vyuo Vikuu umeandaa semina maalumu ya mtandaoni inayohusu maisha…
-
DuniaTaasisi ya Bilal Muslim Mission Yafanya Semina ya Maulidi Iliyolenga Vijana, Uongozi na Maadili
Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim Mission Tanzania imefanya semina maalumu ya Maulidi iliyolenga kuimarisha maadili, uongozi na nafasi ya vijana katika kuijenga jamii yenye misingi imara ya Kiislamu,…
-
DuniaJumuiya ya Ahlulbayt Nchini Kenya Yaadhimisha Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya AhlulBayt Assembly of Kenya (ABAK) kwa kushirikiana na Nairobi Shia Network na Mahdi TV Kenya, imefanya hafla ya maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika…
-
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salam:
DuniaUmoja na Mshikamano Ni Msingi wa Kujenga Mustakabali wa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania imefanya maadhimisho makubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa Mbora wa Viumbe, Mtume Muhammad (saww), katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Unity…
-
DuniaMaulana Sheikh Jalala Ahimiza Waislamu Kuendeleza Vikao vya Maulidi, Dua na Dhikri
Hawza/ Tarehe 04 Septemba 2026, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, amehudhuria hafla ya Maulidi iliyofanyika jijini Mwanza, katika mwendelezo…
-
DuniaVituo vya Bilal Muslim Tanzania Vyaadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad (saww) kwa Shangwe na Furaha
Hawza/ Vituo vya Bilal Muslim katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania vimeungana na Waislamu kote duniani katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad…
-
DuniaMwanza Kuandika Historia ya Maulidi/ Hafla Kubwa ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume (s.a.w.w.) Kufanyika Igogo
Hawza/ Wakazi wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani wanatarajiwa kushuhudia hafla kubwa na yenye kuleta furaha ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad Mustafa…
-
DuniaWaumini wa Kenya Wafurahia Maadhimisho ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Ahlulbayt ya Kenya imeandaa hafla adhimu ya Maulidi ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), katika mazingira yaliyojaa furaha, tafakuri…
-
DuniaMashia wa Burundi Wafanya Sherehe ya Kuenzi Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Waumini wa Kiislamu nchini Burundi wameungana katika anga ya furaha, upendo na shangwe kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika hafla maalumu iliyofanyika jana…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaDunia Inapaswa Kufuata Mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Hemedi Jalala, ametoa wito kwa jamii duniani kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), akisisitiza kuwa maisha na mwenendo…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Ahlulbayt (as) Jijini Arusha:
DuniaTofauti za Kimadhehebu Zisiwe Sababu ya Waislamu Kutengana
Hawza/ Mkurugenzi wa Madrasa ya Ahlulbayt iliyopo jijini Arusha, Dkt. Sheikh Abdurazak Amiri, ametoa wito kwa Waislamu kutoruhusu tofauti za kimadhehebu kuwa sababu ya kutengana, akisisitiza…
-
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na AmaniTanzania:
DuniaMaulidi ya Mtume (s.a.w.w.) Yanatufundisha Umoja na Kuepukana na Mifarakano
Hawza/ Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania, Dk. Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema: Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) yamebeba ujumbe mkubwa wa umoja wa Kiislamu,…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayyid Shuhadaa (as):
Dunia“Bila ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.) Hakuna Amani Duniani”
Hawza/ Sheikh Maulidi Hussein Sombi, amesisitiza umuhimu wa kumuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) kwa kuzingatia mafundisho yake ya amani, umoja na mshikamano, huku akieleza kuwa Mtume Mtukufu ni…
-
DuniaBilal Muslim Temeke, Yaadhimisha Hafla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Kituo cha Bilal Muslim kimeandaa hafla maalumu ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), katika tukio lililolenga kuenzi maisha, ujumbe na mafundisho ya Mtume…
-
DuniaShangwe na Furaha Zatawala Kigogo, TIC Yaadhimisha Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Shia Ithnaashariyyah Tanzania (TIC) imeungana na Waislamu wote nchini katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kubwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad…
-
DuniaMoshi Yaadhimisha Maulidi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.); Malezi ya Kiakili, Kiroho na Kimaadili Vyasisitizwa
Hawza/ Waumini na wananchi mbalimbali katika Jiji la Kilimanjaro Moshi, walikusanyika katika Msikiti wa Ahlulbayt tarehe 29 Agosti 2026 kwa ajili ya kushiriki hafla maalumu ya kuadhimisha Maulidi…
-
DuniaTIC na Hawza Imam Swa’diq (as) Waanza Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (s.a.w.w.) kwa Hafla ya Samāi Dar es Salaam
Hawza/ Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), kwa kushirikiana na Hawza ya Imam Swa’diq (as), imeanza kwa hamasa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), kupitia hafla maalumu ya…
-
DuniaTaasisi ya “Sadiq al-Amin” Mjini Sidon Yaadhimisha Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) na Imam Sadiq (as)
Hawza/ Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mtukufu, Muhammad (s.a.w.w.) na Imam Jaafar Sadiq (as), na kwa mnasaba wa “Wiki ya Umoja wa Kiislamu,” Taasisi ya “Sadiq al-Amin” nchini…
-
Sheikh Naim Qassim:
DuniaSerekali ya Lebanon Imechagua Njia Ambayo Si ya Heshima Kwake Wala Si ya Fahari kwa Lebanon
Hawza/ Sheikh Naim Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah, alisisitiza: Mtume wetu, Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), ni Mtume wa watu walio huru; watu hao walio huru ambao hufungua akili na nyoyo zao zilizo…
-
DuniaHizbullah Yaadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w.) kwa kufanya Mkutano wa Umoja wa Wanazuoni mjini Sidon
Hawza/ Hizbullah imeendesha katika Jengo la Mtukufu Sayyid al-Shuhadaa (as), lililopo katika eneo la Haret Sidon, hafla kwa mnasaba wa Maulid ya Mtume wa Rehema, chini ya kaulimbiu “Umoja wa…
-
DuniaKituo cha Noor Dar es Salaam, Chaendesha Kikao Maalumu kuhusu Ujumbe wa Mtume (s.a.w.w.) katika Dunia ya Kisasa
Hawza/ Kituo cha Noor Dar es Salaam nchini Tanzania kimeendesha kikao maalumu cha kielimu na kiroho kilicholenga kuwakumbusha waumini nafasi na umuhimu wa ujumbe wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)…
-
Sheikh Rifa‘i:
DuniaUmoja wa Kiislamu ni Ulazima wa Kimkakati Katika Kukabiliana na Miradi ya Kizayuni
Hawzah/ Sheikh Mu’min Al-Rifa‘i, mwanazuoni wa Kisunni na mshauri wa masuala ya uhusiano wa kidiplomasia nchini Lebanon, amesisitiza kwamba; “Wiki ya Umoja wa Kiislamu,” ambayo inaambatana na…
-
Mjumbe wa Hizbullah Lebanon:
DuniaBila Umoja wa Kiislamu, Umma Hauna Nguvu ya Kukabiliana na Uvamizi na Ubeberu
Hawzah/ Hujaatul-Islam Sayyid Ali Fahs, akichambua uzoefu wa Umoja wa Kiislamu, alisema: “Wazo lililoasisiwa na Imam Khomeini (q.s.) halikuwa wito wa kinadharia tu wa kuwaleta Waislamu karibu…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Beirut: Mtume (s.a.w.w.) Ni Rehema kwa Walimwengu na Ponyo la Majeraha Yao
Hawzah/ Hujaatul-Islam Sayyid Ali Fadhlullah, kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), amewasilisha pongezi na salamu zake za heri, hususan kwa Waislamu.
-
DuniaKauli 20 za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Kuhusiana na “Mtume Mtukufu (s.a.w.w)”
Hawzah/ Kwa mtazamo wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi, maisha ya Mtume Mtukufu (s.a.w.w) yamejaa mafundisho makubwa ya kibinadamu na kimaadili ambayo yanatosha kwa ajili ya ulimwengu wetu. Kusimama,…