Jumanne 29 Septemba 2026 - 07:20
Fadhila na Ubora wa Kuanza Kutoa Salamu

Hawza/ Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w) katika riwaya, ameelezea kuhusu fadhila ya kuwa wa kwanza kusalimia na nafasi ya jambo hilo mbele ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake.

Shirika la Habari la Hawza limechapisha riwaya ifuatayo kutoka katika kitabu cha “Alkaafi”:

Mtume wa Mwenyezi Mungu (saww) amesema:

«إأَوْلَی النَّاسِ بِاللَّهِ وَبِرَسُولِهِ مَنْ بَدَأَ بِالسَّلَامِ.»

“Mtu aliye karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na Mtume Wake ni yule anayeanza kutoa salamu.”

Al-Kāfī, Juz. 2, uk. 644.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha