Hawza/ Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania amewaomba wananchi na waumini wote nchini kuendelea kuilinda amani ya taifa, kudumisha umoja wa wananchi pamoja na kuimarisha mshikamano wa kijamii kama…
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC) amesisitiza kuwa mwezi wa Rajabu ni kipindi maalum cha amani, utulivu, na kufanya ibada, aliyasema hayo wakati akihutubia kwenye…
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania TIC Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge Ameshiriki katika Hafla ya Maulid ya Mtume Muhammad s.a.w.w iliyofanyika Jana Masjid Majmuatul Islamiya Kwa…
Hawza/ Sheikh Jalala Hemedi leo hii tareh 16 Oktoba, amehudhuria kwenye warsha maalumu ambayo ilikuwa ikielezea asili ya maendeleo na tamaduni za kimagharibi, iliyofanyika katika ukumbi wa Jaamiatul…
Hawza/ Tareh, 02 Oktoba 2025 — Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Samaahat Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge, akiendelea na ziara yake ya mkoani Kigoma, leo ametembelea Ofisi ya Mkuu…
Hawza/ Hatimae jana tareh 28 Mwezi wa tisa Mkoa wa Mwanza ulifanya uzinduzi rasmi wa Ofisi ya Jumuiya ya Shia Inthaasharia (TIC), baada ya kufunguliwa na Sheikh Mkuu wa Jumuiya hiyo.