Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, piacha za maadhimisho hayo ni kama ifuatavyo:

Hawza/ Jumuiya ya Shia ithnaasharia Tanzania (TIC), ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as), chini ya usimamizi wa Samaht Sheikh Jalala Hemedi Mwakindenge, usiku wa kuamkia leo zimeadhimisha Maulidi ya Kitaifa, ambayo yalitanguliwa na matembezi ya amani, maulidi ambayyo kila mwaka Jumuiya hiyo imekuwa na desturi ya kuenzi utajo wa mazazi ya Mtume Muhammad (saww) kwa kufanya hafla kama hiyo.
Maoni yako