Hawzah/ Sherehe za Maulidi ya Kitaifa zimefanyika usiku wa jumanne katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, zikiwa zimewakutanisha viongozi wa dini, viongozi mbalimbali wa serikali,…
Hawza/ Mufti wa Tanzania na Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Abubakar Zubeir, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi wa Baraza hilo, amefanya ziara ya ukaguzi katika…
Hawza/ Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), chini ya usimamizi wa Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir, linawaalika Waislamu wote nchini kushiriki katika sherehe za Maulidi ya Kitaifa…