TIC (6)
-
DuniaPicha/ Maulidi ya Kitaifa yafanywa na Jumuiya ya Shia ithnaasharia Tanzania (TIC)
Hawza/ Jumuiya ya Shia ithnaasharia Tanzania (TIC), ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as), chini ya usimamizi wa Samaht Sheikh Jalala Hemedi Mwakindenge, usiku wa kuamkia leo zimeadhimisha…
-
DuniaMaulidi ya kinamama yafanyika nchini Tanzania
Hawza/ Jumuiya ya Shiya Ithnaasharia Tanzania (TIC) ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as), ambayo makazi yake makuu yapo Kigogo Post jijini Daresalam, jana iliadhimisha hafla kubwa ya…
-
DuniaPicha/ Hafla ya Maulidi Kitaifa yafanyika Mkoani Tanga, Mashia waonesha umoja na mshikamano usio na kifani
Hawza/ Sherehe ya Maulidi ya Kitaifa nchini Tanzania imefanyika usikubwa kuamkia leo Mkoani Tanga katika Wilaya ya Korogwe, huku viongozi Mashuhiri wakihudhuria katika hafla hiyo, na wafuasi…
-
DuniaTanzania Ithnaasharia Community (TIC) yatangaza Maulidi ya Mtume Muhammad (saw) ya Mwaka huu
Hawza/ Tanzania Ithnaasharia Community ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as) wametoa tangazo rasmi la Maulidi ya Mtume Muhammad (saw) mwaka huu wa 2025
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC: Tumuenzi sheikh Hassan Mwalupa na Sheikh Abdillah Nasir kwa kusomesha na kuhuisha kazi zao walizozifanya
Hawza/ Sheikh Hemed Jalala amesisitiza kuwa; Tukitaka kumuenzi sheikh Hassan Mwalupa na Sheikh Abdillah Nasir ni wajibu wetu kusomesha na kuhuisha kazi zao walizozifanya masheikh hawa
-
sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC):
DuniaFalsafa ya Arafa kwa mtazamo wa Imam Khomeini (ra)
Hawza/ sheikh mkuu wa Jumuiya ya Shia nchini Tanzanzania (TIC), katika hotuba yake ya swala ya ijumaa alielezea falsafa ya kisimamo cha Arafa kutokana na mtazamo wa Imam Khomeini (ra).