Madrasa na hawza ya Imaam Swadiq (as) (7)
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC):
DuniaAmani na Maadili Mema ndio Utambulisho halisi wa Mtanzania
Hawza/ Katika kongamano maalumu la amani lililofanyika nchini Tanzania, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC) alitoa hotuba yenye kugusa moyo kuhusu umuhimu wa kulinda misingi…
-
DuniaSheik Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) ahudhuria hafla ya utangulizi wa maulidi mkoani Arusha
Hawza/ Jumamosi ya jana ambayo ni sawa na taeh 11 Oktoba, Sheik Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) alihudhuria hafla ya utangulizi wa maulidi iliyofanyika Mkoani Arusha.
-
DuniaHauli ya Marehemu Sheikh Abdallah Seifu yafanyika Mnang'ole Lindi
Hawza/ Hauli ya aliekuwa Sheikh wa kwanza wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC), Hayati Sheikh Abdallah Seifu Linganaweka Imefanyika jana Jumamosi kijijini kwake Mnong'ole Lindi.
-
DuniaPicha/ Maulidi ya Kitaifa yafanywa na Jumuiya ya Shia ithnaasharia Tanzania (TIC)
Hawza/ Jumuiya ya Shia ithnaasharia Tanzania (TIC), ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as), chini ya usimamizi wa Samaht Sheikh Jalala Hemedi Mwakindenge, usiku wa kuamkia leo zimeadhimisha…
-
DuniaMaulidi ya kinamama yafanyika nchini Tanzania
Hawza/ Jumuiya ya Shiya Ithnaasharia Tanzania (TIC) ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as), ambayo makazi yake makuu yapo Kigogo Post jijini Daresalam, jana iliadhimisha hafla kubwa ya…
-
DuniaTanzania Ithnaasharia Community (TIC) yatangaza Maulidi ya Mtume Muhammad (saw) ya Mwaka huu
Hawza/ Tanzania Ithnaasharia Community ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as) wametoa tangazo rasmi la Maulidi ya Mtume Muhammad (saw) mwaka huu wa 2025
-
DuniaHawza ya Imaam Swadiq (as) yapokea ugeni kutoka katika maktaba ya Sayyed Hakim (ra) Najaf Ashraf nchini Iraqi
Hawza/ Madrasa na hawza ya Imaam Swadiq (as) leo hii imepokea ugeni mzito kutoka katika Maktaba ya Sayyid Hakim (ra), na ugeni huo umekaribishwa vizuri katika hawza hiyo.