Shirika la Habari la Hawza - Mtume (s.a.w.w) amesema:
«إِنْ قَامَتِ اَلسَّاعَةُ وَ فِي يَدِ أَحَدِكُمُ اَلْفَسِيلَةُ فَإِنِ اِسْتَطَاعَ أَنْ لاَ تَقُومَ اَلسَّاعَةُ حَتَّى يَغْرِسَهَا فَلْيَغْرِسْهَا.»
Itakapowadia Siku ya Kiyama na mmoja wenu akawa ana mche mkononi mwake, akiweza kuupanda kabla ya kusimama Kiyama, basi aupande.
Mustadrak al-Wasail, jz 13, uk 460
Maoni yako