pakistan (14)
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Skardu, Baltistan, Pakistan:
DuniaUmoja wa Waislamu ndio njia ya kukabiliana na njama za maadui
Hawzah/ Sheikh Muhammad Jawad Hafizi, amesisitiza umuhimu wa kulinda umoja wa Umma wa Kiislamu, akisema: Waislamu wanapaswa, kwa kuwa na tahadhari na uelewa mpana, kujiepusha na kuchochea mifarakano…
-
DuniaRais wa Baraza la Itikadi ya Kiislamu la Pakistan Akutana na Ayatullah al-Udhma Hafiz Bashir Najafi Katika Ziara Yake huko Najaf Ashraf
Hawzah/ Mufti Raghīb Hussein Na‘īmī, Mwenyekiti wa Baraza la Itikadi ya Kiislamu la Pakistan, amekutana na kufanya mazungumzo na Ayatullah al-Uzma Hafiz Bashir Hussein Najafi huko Najaf Ashraf.
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaMalezi ya Kielimu na Kidini kwa Kizazi cha Vijana ni Jambo Lisiloweza Kupuuzwa
Hawzah/ Hujjatul-Islamu wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqavi amesisitiza umuhimu wa malezi ya kielimu na kidini kwa kizazi cha vijana, na kusema: “Ushindani wenye afya ya kielimu baina ya shule…
-
Rais wa Jumuiya ya Wifaq ya Madrsa za Kishia Pakistan:
DuniaMarjaiya, Maombolezo ya Ashura na Wilaya ni Nguzo Tatu Imara za Ushia Dhidi ya Ukoloni
Hawza/ Ayatullah Hafiz Riyadh Hussein Najafi, Mkuu wa Shirikisho la Madrasa za Kishia Pakistan (Wifaq al-Madaris al-Shia Pakistan), amesisitiza kwamba Marjaiya, maombolezo ya Ashura na Wilaya…
-
Mwanazuoni Mashuhuri wa Pakistani:
DuniaSira ya Mtume Mtukufu (saww) Ni Kielelezo Kamili cha Rehema, Uadilifu, Maadili na Umoja kwa Wanadamu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Muhammad Hassan Jaafari amesema katika ujumbe wake kwamba: Sira ya Mtume (saww) na Ahlul Bayt (as) haipaswi kuishia katika kuwapenda na kuomboleza tu, bali…
-
Mwanazuoni wa Ahlu Sunna kutoka Pakistan:
DuniaKiongozi Shahidi alikuwa anailinda heshima na matukufu ya Uislamu
Hawza/ Mufti Sayyid Ashiq Hussein amesema: “Kiongozi Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei, kwa ustahimilivu na msimamo wake wa kipekee, alitekeleza jukumu la kudumu katika kulinda…
-
Seneta wa Pakistan:
DuniaLengo la Kongamano Kubwa la “Shahidi wa Umma” ni Kulingania Watu Kuelekea Upeo Mpya wa Uelewa, Uwajibikaji na Umoja
Hawza/ Mkusanyiko mkubwa na wa kifahari wa “Shahidi wa Umma” ulifanyika katika uwanja wa kihistoria wa Minar-e-Pakistan mjini Lahore kwa lengo la kuenzi hadhi ya juu ya kiongozi shahidi wa Umma…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia wa Pakistan:
DuniaImam Khomeini (r.a), alikuwa nembo ya mwamko na mapambano dhidi ya ubeberu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi katika ujumbe wake amesema: Imam Khomeini (r.a) kupitia ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliwasilisha mfano wenye mafanikio wa serikali…
-
DuniaPakistan yatangaza kuendelea kuiunga mkono Palestina licha ya shinikizo la Israel
Hawza/ Pakistan, kwa lengo la kuzuia kuwepo kwa utata kuhusu msimamo wake kuhusiana na Israel, ilisisitiza kwamba; msimamo wake wa kuliunga mkono taifa huru la Palestina bado unaendelea kuwa…
-
DuniaWanafunzi wa Pakistan watoa heshima kwa wanafunzi walio uwawa kishahidi wa shule ya Minab Iran
Hawza/ Wanafunzi wa “Akademia ya Vikosi ya Rawalpindi” nchini Pakistan, walipohudhuria katika Nyumba ya Utamaduni ya Iran, walitoa heshima kwa wanafunzi mashahidi wa shule ya mji wa Minab pamoja…
-
DuniaWanafunzi wa Pakistan wawakumbuka mashahidi wa Minab
Hawza/ kutokana na mnasaba wa kuadhimisha kumbukumbu na historia ya mashahidi wa shule ya “Shajarat Tayyibah Minab”, mashindano ya hotuba yaliyopewa anuani ya “Wito wa Amani na Ubinadamu” yalifanyika…
-
Rais wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan amesema:
DuniaJe! Ni sawa siku ambayo familia za Wapalestina zilivamiwa na kuuwawa, kuwa ndio siku ya kusherekea familia Duniani?
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi katika ujumbe wake amesema: Zaidi ya miongo saba iliyopita, utawala haramu wa Israel ulipandikizwa kama kisu chenye sumu ndani ya moyo…
-
Rais wa Jamiat Ulema-e-Islam Pakistan:
DuniaTrump ndiye anayehusika na ukosefu wa usalama Mashariki ya Kati na kuyumba kwa utulivu katika Ghuba ya Uajemi
Hawza / Maulavi Fazlur Rahman katika hotuba yake alimwelezea Donald Trump, Rais wa Marekani, kuwa ndiye sababu kuu ya ukosefu wa usalama ndani ya Mashariki ya Kati na kuyumba kwa utulivu katika…
-
DuniaBendera ya Haram ya Imam Ridha (a.s) yafika Baltistan Pakistan na kupokewa kwa shangwe na wananchi
Hawza/ Sambamba na ujio wa ujumbe kutoka Haram Quds Razavi katika eneo la Baltistan nchini Pakistan, bendera tukufu ya kuba la Haram takatifu ya Imam Ridha(a.s) ililetwa katika mji wa Skardu…